Marehemu wote ni adhimisho la baadhi ya madhehebu ya Ukristo kulingana na imani katika hali ya watu waliofariki dunia.
Kwa baadhi yake ni suala la kuwakumbuka tu, kwa baadhi ni suala la kuwaombea pia.
Ni muhimu hasa katika Kanisa la Kilatini (ambalo linaliadhimisha tarehe 2 Novemba, mara baada ya sherehe ya Watakatifu wote) na katika Ukristo wa mashariki (ambao linaliadhimisha mara kadhaa kwa mwaka, hasa siku ya Jumamosi, ambayo ndiyo siku ya Yesu kukaa kaburini kabla hajafufuka Siku ya Bwana).
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Marehemu wote kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Marehemu wote, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.