Lugha Za Kibalti

Lugha za Kibalti (pia: Kibaltiki) ni kundi la lugha za Ulaya ambazo ni tawi la familia ya lugha za Kihindi-Ulaya.

Lugha Za Kibalti
Makabila ya Wabalti takriban miaka 800 yaliyopita.

Wasemaji wao wanapatikana katika maeneo upande wa mashariki-kusini ya Bahari Baltiki. Leo hii kuna lugha 2 za Kibalti ambazo ni Kilithuania na Kilatvia.

Zamani kulikuwa na lugha zaidi lakini hizi zilikwisha hadi karne ya 18. Makabila yaliyotumia lugha hizi ziliwahi kukalia maeneo kati ya mto Vistula na milima ya Urali. Tangu mnamo mwaka 1200 BK yalifikia chini ya utawala wa milki za Waslavoni (Poland, Urusi) au Wajerumani na wasemaji wengi walibadilisha lugha walipokea lugha za Kislavoni au za Kigermanik.

Lugha za ibalti ni maarufu kwa sababu sarufi yao imebaki karibu sana kwa Kihindi-Kiulaya asilia kuliko lugha zote nyingine zilizopo leo hii. Uhusiano huu unaonekana kwa kulinganisha lugha ya Veda ya Uhindi na lugha za Kibalti.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoWashambaaJokate MwegeloNenoSaratani ya mlango wa kizaziHifadhi ya SerengetiHistoria ya TanzaniaTanganyika (ziwa)Usanifu wa ndaniHistoria ya ZanzibarBendera ya KenyaNomino za dhahaniaKitenzi kishirikishiMkoa wa TangaShahawaWilaya ya Nzega VijijiniHistoria ya KanisaSadakaMkoa wa ShinyangaBiblia ya KikristoVidonge vya majiraWaluguruMaji kujaa na kupwaSemiMkoa wa KageraMkoa wa SimiyuNahauWahadzabeUmaskiniMkoa wa ManyaraKiolwa cha anganiUgonjwa wa uti wa mgongoUnyenyekevuOrodha ya Marais wa KenyaRadiPaul MakondaTamathali za semiDawatiMbezi (Ubungo)PentekosteHadithiNgw'anamalundiChristina ShushoMeta PlatformsWimboHaitiVichekeshoBiasharaUzazi wa mpangoHussein Ali MwinyiLakabuTanzaniaTafakuriVielezi vya namnaMfuko wa Mawasiliano kwa WoteAndalio la somoEl NinyovvjndOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMsitu wa AmazonMkoa wa ArushaPalestinaAbedi Amani KarumeKimeng'enyaVivumishi vya -a unganifuKanda Bongo ManWikipediaMafumbo (semi)MafurikoRisalaMpira wa mkonoChakulaMaktabaTreni🡆 More