Lester Bowles “Mike” Pearson (23 Aprili, 1897 – 27 Desemba, 1972) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Kanada.
Anajulikana hasa kwa kutatua shida za vita kuhusu Mfereji wa Suez. Mwaka wa 1957 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani. Baadaye alikuwa Waziri mkuu wa Kanada 1963-1968.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lester B. Pearson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Lester B. Pearson, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.