Kishineu

Kishineu (kwa Kiromania Chişinău (matamshi kama mbele); kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв Kishinyev) ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600,000.

Kishineu
Kishineu mjini: tao na kanisa.

Jiografia

Mji uko kwa 47°0′N 28°55′E kando ya mto Bich (Bîc) ambao ni tawimto la Dnestr. Eneo la mji ni km² 120. Kishineu iko katikati ya nchi ya Moldova.

Kuna vyuo vingi pamoja na shule, makumbusho na nyumba za maigizo. Mji una viwanda vingi.

Wakazi

Kati ya wakazi kuna vikundi vikubwa vifuatayo kufuatana na lugha:

Viungo vya Nje

Picha

Ramani

Kishineu  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kishineu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Kishineu JiografiaKishineu WakaziKishineu Viungo vya NjeKishineu PichaKishineu RamaniKishineuKiromaniaKirusiMatamshiMjiMji mkuuMoldovaMwandiko wa kikirili

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nomino za pekeeKiboko (mnyama)LughaLafudhiTendo la ndoaNahauWaluguruBibliaKhadija KopaViwakilishi vya idadiKenyaAntibiotikiMizimuTashihisiMkwawaVipera vya semiNg'ombe (kundinyota)Vita Kuu ya Kwanza ya DuniaMajina ya Yesu katika Agano JipyaZuchuKataMiundombinuLahajaPasifikiUyahudiUkristoNyotaMapinduzi ya ZanzibarUkristo barani AfrikaWahadzabeMeno ya plastikiUkutaMoses KulolaMaradhi ya zinaaMkoa wa KilimanjaroWayback MachineDalufnin (kundinyota)Afrika ya MasharikiMkoa wa SingidaMartin LutherAndalio la somoDhima ya fasihi katika maishaKitenzi kishirikishiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMwanzoMfumo wa upumuajiGoba (Ubungo)WagogoMethaliKiumbehaiSteve MweusiVivumishi vya sifaNgonjeraMilaRayvannyBaruaOrodha ya milima ya AfrikaSentensiLionel MessiJacob StephenKishazi tegemeziMkoa wa RuvumaUturukiBungeJava (lugha ya programu)RitifaaMange Kimambi🡆 More