Kengele (kwa Kiingereza bell) ni kifaa kilichotengenezwa kwa metali na ambacho mlio wake unafika mbali, hivyo kinatumika kujulisha ratiba fulani, kwa mfano shuleni au monasterini.
Zile kubwa zaidi zinapachikwa kwenye minara ya makanisa ili kualika waamini kusali pale walipo au kukusanyika kwa ajili ya ibada ya pamoja.
Mara nyingine zinatumika kujulisha tukio la furaha au huzuni kubwa.
Zikiwa kadhaa pamoja zinaweza kutumika pia kama ala ya muziki.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kengele kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kengele, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.