Haru Mutasa

Haru Mutasa ni mtangazaji wa Al Jazeera ya Kiingereza, afisi ya Nairobi.

Al Jazeera ya Kiingereza ni stesheni ya kwanza inayotoa habari kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu katika nchi ya Kiarabu.

Yeye amewahi kufanya kazi na South African Broadcasting Corporation (SABC), CNN, Television New Zealand (TVNZ), Associated Press Television News (APTN) na Star Sports Network.

Kama ripota mjini Harare, Zimbabwe, Haru aliwahi kuripoti taarifa nyingi kuhusu Zimbabwe zilizoonyeshwa katika kipindi cha Inside Africa (CNN), Television New Zealand (TVNZ) na APTN.

Mwaka wa 2007, Haru aliteuliwa kwa "Young Journalist of the Year" (Mwanahabari Mdogo Zaidi katika Mwaka huo) katika tuzo ya Royal Television Society.

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

Al JazeeraKiingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa wa uti wa mgongoUbungoNafsiMtandao wa kijamiiPaul MakondaNgono zembeMbuga za Taifa la TanzaniaBawasiriHussein Ali MwinyiAbrahamuWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiTendo la ndoaHistoria ya Kanisa KatolikiFutiLahajaDubai (mji)UkristoMkoa wa RukwaRiwayaJokate MwegeloMajeshi ya Ulinzi ya KenyaMitume wa YesuJamhuri ya Watu wa ZanzibarOrodha ya makabila ya KenyaChumba cha Mtoano (2010)Namba tasaVasco da GamaHali ya hewaUpendoKondomu ya kikeKipazasautiVieleziNileSah'lomonMkoa wa RuvumaMvuaYanga PrincessMaajabu ya duniaTupac ShakurSteven KanumbaChristina ShushoKunguruVirusi vya CoronaKishazi tegemeziUtalii nchini KenyaMshubiriKiboko (mnyama)NusuirabuInsha ya wasifuVivumishi vya kuoneshaKanda Bongo ManSexSaidi Salim BakhresaNdiziVivumishi vya -a unganifuNyotaOrodha ya viongoziTafakuriOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMaudhui katika kazi ya kifasihiMichael JacksonSimuPamboOrodha ya milima ya TanzaniaSimu za mikononiKitenzi kishirikishiMapambano kati ya Israeli na PalestinaNyegeKisaweUgonjwaWahayaBungeMkoa wa TangaIsraelMkoa wa ArushaKifaru🡆 More