Html

HTML ni kifupi cha HyperText Markup Language au Lugha ya kutunga matini ya mtandao.

Ni aina ya lugha ya matinikivo (hypertext) inayotumiwa ili wavuti uonekane mtandaoni jinsi inavyotakiwa. HTML ni lugha ya matinikivo inayotumiwa zaidi kwenye wavuti wa walimwengu (WWW).

Ni mchanganyiko wa lugha ya kawaida na misimbo ya pekee inayoieleza tarakilishi kuonyesha maandishi, picha au rangi kwa namna fulani jinsi inavyotakiwa.

Programu ya kivinjari (au kisakuzi - "browser") kama Firefox au Internet Explorer inasoma lugha hii ya HTML inapoambiwa jinsi gani kuonyesha ukurasa. Ukurasa wa wavuti unaweza kuonyesha maandishi, viungo, picha au hata sauti na video.

Misimbo

HTML hutumia amri za pekee zinazoitwa msimbo ("tag"). Misimbo hii hutokea mara nyingi kwa jozi: msimbo funguzi unaambia kivinjari kuanza kazi fulani, na msimbo funga unasema kazi hii inakwisha.

Kuna misimbo mingi tofauti na kila mmoja una kazi yake maalumu.

Misimbo funguzi huwa na neno la kuamrisha ndani ya vibano pembe. Kwa mfano "title" ni amri ya kuonesha maneno kama kichwa. Sasa ili yaonekane kama amri hufungwa ndani ya vibano pembe Html - Wiki Kiswahili (Swahili).

Mfano

Yafuatayo ni mfano wa ukurasa wa HTML:

 <html>   <head>     <meta charset="UTF-8">     <title>Hiki ni kichwa cha ukurasatitle>   head>   <body>     <p>Hii ni ibara ndani ya maandiship>   body> html> 

Viungo vya Nje

Tags:

Wavuti wa walimwengu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UmemeWema SepetuMfumo wa JuaOrodha ya Marais wa KenyaNdoo (kundinyota)Orodha ya milima ya TanzaniaAntibiotikiOrodha ya Watakatifu WakristoMatumizi ya LughaOrodha ya viongoziHadithiTiktokIsraelSikioKupatwa kwa JuaWilaya ya Unguja Magharibi AUingerezaVivumishi vya -a unganifuSimba S.C.UpendoMalariaMabiboPamboKigogo (Kinondoni)MbogaLugha ya isharaDiniMkoa wa RukwaArusha (mji)NyangumiMtakatifu PauloLigi Kuu Uingereza (EPL)KarafuuIlluminatiOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniMfumo wa upumuajiAlomofuNangaMuundoDemokrasiaUtamaduni wa KitanzaniaChamaziJamhuri ya Watu wa ZanzibarOrodha ya kampuni za TanzaniaKadi za mialikoUlumbiOrodha ya majimbo ya MarekaniAlfabetiUislamuKibu DenisLady Jay DeeMbezi (Ubungo)Julius NyerereMkunduDuniaMnara wa BabeliVisakaleTafsidaWilaya ya ArumeruJinsiaUsafi wa mazingiraMkwawaNomino za dhahaniaMkoa wa SongweWanyama wa nyumbaniChakulaWangoniVita ya uhuru wa MarekaniLugha za Kibantu🡆 More