Gesi Ya Machozi

Gesi ya machozi ni silaha ya kikemia inayosababisha maumivu kwenye macho na pia kwenye njia ya pumzi.

Inatumiwa kama silaha isiyoua lakini kwa viwango vikubwa inaweza kuleta madhara makubwa zaidi, hadi kusababisha kifo.

Gesi Ya Machozi
Gesi ya machozi ikitumika nchini Ufaransa mnamo 2007
Gesi Ya Machozi
Mlipuko wa gesi ya machozi ulilipuka juu ya kuruka huko Ugiriki

Kwenye jicho inakera neva za tezi za machozi zinazoanza kutoa machozi.

Kuna dawa mbalimbali zinazotumika kwa kutengeneza gesi ya machozi,

Gesi hiyo hutumiwa kwa kawaida na polisi kwa kutawanya umati mkubwa wa watu, kuvunja maandamano au kutuliza ghasia.

Hairuhusiwi kuitumia vitani maana matumizi ya gesi dhidi ya wanajeshi hukataliwa na mikataba ya kimataifa, baada ya vita ya gesi sumu wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia.

Hatua za kujikinga

Njia bora zaidi ya kujikinga ni kuvaa kichuja hewa usoni. Pale ambapo hakipatikani, miwani ya kuogelea (goggles) inafaa kukinga macho, pamoja na kitambaa kinyevu kinachoshikwa mbele ya mdomo na pua kama kinga ya njia za pumzi.

Marejeo

Gesi Ya Machozi  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gesi ya machozi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KemiaKifoMachoMaumivuMfumo wa upumuajiSilaha

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MarekaniUtendi wa Fumo LiyongoUlayaAmfibiaDivaiKongoshoTreniAmina ChifupaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaPijini na krioliMilanoNyukiInshaVielezi vya idadiBunge la TanzaniaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMishipa ya damuIntanetiMisemoRita wa CasciaMpira wa mkonoMbooIsimuKoloniRuge MutahabaMajigamboSayansiSarufiNamba za simu TanzaniaZiwa ViktoriaUtumbo mwembambaWarakaHomoniUpinde wa mvuaLady Jay DeeMjombaJoseph ButikuDamuKamusi ya Kiswahili sanifuMwanzo (Biblia)Vivumishi vya urejeshiTungoNandyMkoa wa Dar es SalaamNg'ombe (kundinyota)April JacksonUmoja wa AfrikaMaadiliJulius NyerereHekalu la YerusalemuSakramentiSimu za mikononiOrodha ya vitabu vya BibliaMagharibiKitenziVitamini CUturukiKihusishiMoses KulolaNdovuAnwaniDar es SalaamFonolojiaMtumbwiUgonjwa wa uti wa mgongoRisalaTanganyika African National UnionUgonjwaKanisa KatolikiWikipediaKiunguliaFani (fasihi)UshairiUkwapi na utao🡆 More