Filamu Ya 2013 Frozen

Frozen ni filamu ya katuni-muziki ya mwaka 2013 kutoka Marekani iliyotayarishwa na Walt Disney Animation Studios na kutolewa na Walt Disney Pictures.

Hii ni filamu ya 53 kutolewa katika mfululizo wa filamu za Walt Disney Animated Classics.

Frozen
Filamu Ya 2013 Frozen
Posta ya filamu
Imeongozwa na
  • Chris Buck
  • Jennifer Lee
Imetayarishwa na Peter Del Vecho
Imetungwa na
  • Chris Buck
  • Jennifer Lee
  • Shane Morris
Nyota
  • Kristen Bell
  • Idina Menzel
  • Jonathan Groff
  • Josh Gad
  • Santino Fontana
Muziki na
  • Christophe Beck (score)
  • Robert Lopez (songs)
  • Kristen Anderson-Lopez (songs)
Sinematografi
  • Scott Beattie (layout)
  • Mohit Kallianpur (lighting)
Imehaririwa na Jeff Draheim
Imesambazwa na Walt Disney Studios
Motion Pictures
Imetolewa tar. Novemba 19, 2013 (2013-11-19) (El Capitan Theatre)
Novemba 22, 2013 (2013-11-22) (Marekani)
Ina muda wa dk. Dk. 102
Nchi Marekani
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $150 million
Mapato yote ya filamu $1.280 billion

Hadithi

Filamu inahusu watoto wawili wa mfalme; mmoja anaitwa Anna na mwingine anaitwa Elsa. Elsa alikuwa ndiye mkubwa na alikuwa amezaliwa na uwezo wa kutowa barafu mikononi. Siku moja wazazi wao walisafiri na katika safari hiyo njiani kwa bahati mbaya walipata ajali. Ajali hiyo ilisababisha wakapotezamaisha,baada ya hapo mtoto wao mkubwa Elsa alikuwa malkia katika mji uitwao Dameski lakini ilipogundulika kuwa ananguvu za ajabu walimkataa na kutaka kumuua. Kujisaindia alikimbia na kwenda kuishi mbali ili asije akawadhuru kwa nguvuzake.

Mdogo wake ambaye ni Anna aliamua kumfuata dada yake ambaye ni Elsa kwenda naye katika mji unaoitwa Dameski akawe malkia wao akakubali alivyo jua kuzikontrolunguvuzake nakuenda pamoja naye. Mwisho wananchi walimkubalia akawa mtawala wao malikia Elsa.

Marejeo

Filamu Ya 2013 Frozen  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Frozen (filamu ya 2013) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

2013FilamuKatuniMarekaniMuzikiMwakaWalt Disney Animated Classics

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SakramentiMalawiChuiRamadhaniHadithi za Mtume MuhammadOrodha ya nchi za AfrikaKuraniHistoria ya KenyaMwaniSanaaChakulaKiangaziUsanisinuruTabianchiMkutano wa Berlin wa 1885Daniel Arap MoiUzalendoDemokrasiaThomas UlimwenguImaniLGBTHistoria ya UislamuHedhiUchawiWabena (Tanzania)Bonde la Ufa la Afrika ya MasharikiIsimuMbwana SamattaKiingerezaNdoa ya jinsia mojaOrodha ya Marais wa TanzaniaHistoria ya AfrikaSiafuChuraNchiKiunguliaHistoria ya WapareKen WaliboraFatma KarumeTaifaOrodha ya milima mirefu dunianiUundaji wa manenoFutiFacebookKaskaziniWaluhyaMbossoThabitiWikipedia ya KirusiNgano (hadithi)Zana za kilimoAina za ufahamuVasco da GamaLigi Kuu Tanzania BaraWilaya ya KinondoniKilimanjaro (Volkeno)JMwanzo (Biblia)PasakaMkoa wa PwaniEe Mungu Nguvu YetuPikipikiMoyoSaa za Afrika MasharikiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniSimbaNyumbaMichezo ya watotoPonografiaTendo la ndoaWizara za Serikali ya TanzaniaMatamshiUtalii nchini KenyaUtumwaMizimuUshairiUti wa mgongoMuda sanifu wa dunia🡆 More