Fiziolojia

Fiziolojia ni utafiti wa jinsi viumbe vinavyofanya kazi.

Wanaikolojia wanaweza kujifunza jinsi viungo vya mwili vinavyofanya kazi pamoja ili kufanya mambo kutokea.

Somo hili mara nyingi hugawanyika katika kategoria tatu:

  • fiziolojia ya binadamu,
  • fiziolojia ya wanyama,
  • fiziolojia ya mimea.

Kwa binadamu, kwa mfano, homoni za mmeng'enyo wa chakula na kemikali nyingine hufanywa na tumbo, ini na kongosho. Kusinyaa kwa misuli hutokea kwa sababu ya ujumbe wa kikemikali uliofanywa na neva za hiyo misuli.

Kwa kujifunza jinsi mwili hufanya kazi kwa kawaida, wanafiziolojia na madaktari wanaweza kuelewa vizuri kinachotokea wakati viungo havifanyi kazi kawaida.

Kwa mfano, ufahamu wa jinsi kazi ya tezi ya thairoidi imesaidia katika kutibu rovu. Uchunguzi wa mfumo wa mzunguko wa damu na wa mfumo wa neva umewasaidia madaktari kuelewa na kutibu magonjwa kama vile magonjwa ya moyo, kiharusi na shinikizo la damu.

Fiziolojia Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fiziolojia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KaziMwiliUtafiti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ee Mungu Nguvu YetuMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaUandishi wa inshaViwakilishi vya urejeshiChama cha MapinduziNenoKaswendeKiarabuUtendi wa Fumo LiyongoDivaiTanzaniaHifadhi ya SerengetiVivumishi vya kuoneshaMkoa wa TaboraGongolambotoMatumizi ya LughaPasakaNimoniaMikoa ya TanzaniaWabunge wa Tanzania 2020ZakaUandishi wa barua ya simuMlongeNgono zembeShukuru KawambwaTabataSaidi Salim BakhresaDaktariPesaKiambishiMapenziSanaa za maoneshoRose MhandoPentekosteMbooKiraiVielezi vya idadiIndonesiaMawasilianoZiwa ViktoriaWanyamaporiHussein Ali MwinyiBendera ya ZanzibarMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMachweoTamathali za semiKaaMfumo wa mzunguko wa damuKiingerezaTetekuwangaEdward SokoineAlfabetiJinsiaNyukiMilaAbedi Amani KarumeKabilaSamakiMjombaMoses KulolaMuhammadMaana ya maishaMarie AntoinetteUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020UkristoNandyNgano (hadithi)MandhariNahauLionel MessiNileMohammed Gulam DewjiNdizi🡆 More