Feryal Abdelaziz

Feryal Ashraf Abdelaziz (aliyezaliwa 16 Februari 1999) ni mwanakarate wa Misri pia ni Mmisri wa kwanza wa kike kushinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki.

Alishinda medali ya dhahabu katika hafla ya wanawake wenye uzito wa kilo 61 katika Olimpiki ya mwaka 2020 iliyofanyika Tokyo, Japani.

Tanbihi

Marejeo

1. Ayoubi, Nur (7 August 2021). "Tokyo Olympics: Feryal Abdelaziz becomes first Egyptian woman to win gold".

2. "Karate Results Book" (PDF). 2020 Summer Olympics. Archived (PDF) from the original on 10 August 2021. Retrieved 10 August 2021.

3. "ABDELAZIZ Feryal". Tokyo Organising Committee of the Olympic and Paralympic Games. Retrieved 2 September 2021.

Tags:

19992020DhahabuJapaniKarateMichezo ya OlimpikiMisriOlimpikiTokyo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SamakiAsiaMusuliDuniaNgeli za nominoKoloniTetemeko la ardhiPijini na krioliJinaWikipedia ya KirusiDiamond PlatnumzKipanya (kompyuta)KaabaSanaa za maoneshoWembeNetiboliSarufiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMapambano ya uhuru TanganyikaOrodha ya Marais wa MarekaniSeliFonolojiaKongoshoSwalahAfrika KusiniSimbaFutiTafsiriDubai (mji)Abedi Amani KarumeKiingerezaAla ya muzikiMadawa ya kulevyaShinikizo la juu la damuSayariNgono KavuPasakaMfumo wa lughaUchawiMbonoKwaresimaChuiTupac ShakurShahawaMsitu wa AmazonSiafuTiba asilia ya homoni28 MachiMarie AntoinetteClatous ChamaCristiano RonaldoOrodha ya majimbo ya MarekaniNamibiaLishePopoThrombosi ya kina cha mishipaMkondo wa umemeMnururishoUrusiRushwaHadithi za Mtume MuhammadSitiariUsultani wa ZanzibarVidonge vya majiraSayari ya TisaSkeliFasihi simuliziBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMaumivu ya kiunoWanyamaporiCosta TitchTaifa🡆 More