Fermi

Fermi (Fermium) ni elementi sintetiki yenye alama Fm na namba atomia 100.

Katika jedwali la elementi hupangwa katika kundi la aktinidi. Kati ya elementi sintetiki ni elementi nzito zaidi, inaweza kupatikana kwa njia ya kufyatulia nyutroni dhidi ya elementi nyepesi. Ni elementi ya kimetali ingawa metali safi ya Fermi haijatengenezwa bado. Kwa jumla kuna isotopi zake 19 zinazojulikana, ikiwa 257Fm ni isotopi yenye nusumaisha ndefu zaidi iliyo na siku 100.5. Kwa sababu ya kiwango kidogo cha fermi iliyozalishwa na nusumaisha fupi ya isotopi zake zote, kwa sasa hakuna matumizi yoyote nje ya utafiti wa msingi wa kisayansi.

Fermi iligunduliwa katika taka ya mlipuko wa bomu la hidrojeni la kwanza mnamo 1952. Ilipokea jina lake kwa kumbukumbu ya Enrico Fermi, mmoja wa waanzilishi wa fizikia ya nyuklia.

Fermi
Fermium ilionekana kwa mara ya kwanza katika majaribio ya nyuklia ya Ivy Mike.
Fermi
Elementi hiyo ilipewa jina la Enrico Fermi.

Marejeo

Kujisomea

Viungo vya nje

  • Fermium katika Jedwali La Purela la Video (Chuo Kikuu cha Nottingham)
Fermi  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fermi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AktinidiAlamaElementiElementi sintetikiIsotopiJedwali la elementiKundiMetaliNamba atomiaNusumaishaNyutroniSikuUtafiti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha za KibantuUgonjwa wa kuharaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNgono zembeOrodha ya miji ya TanzaniaKalenda ya mweziMaambukizi nyemeleziOrodha ya Marais wa TanzaniaHekalu la YerusalemuTreniUpinde wa mvuaKisononoVipaji vya Roho MtakatifuClatous ChamaNahauKonsonantiRobin WilliamsChawaMbwana SamattaArsenal FCKanisa la Kiinjili la Kilutheri TanzaniaJuaRoho MtakatifuNungununguMike TysonHassan bin OmariOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaOrodha ya programu za simu za WikipediaKata za Mkoa wa Dar es SalaamHektariMsukuleTmk WanaumeManeno sabaVirusiKylian MbappéIntanetiKamusi ya Kiswahili sanifuNjia ya MsalabaMkoa wa KataviUtandawaziMandhariUrusiKitubioKalendaKaswendeKiungo (michezo)Chombo cha usafiri kwenye majiSiku tatu kuu za PasakaRiwayaYoung Africans S.C.WagogoFonetikiBurundiMkoa wa PwaniAunt EzekielMofimuRadiKisasiliWalawi (Biblia)Muundo wa inshaOrodha ya Magavana wa TanganyikaMzabibuIsimuTafsiriAsidiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaBiblia ya KikristoMwenge wa UhuruWasukumaVitenzi vishirikishi vikamilifuMkoa wa TaboraSemantikiHaitiKondoo (kundinyota)Kiwakilishi nafsiKemikali🡆 More