False Flag ni filamu ya Nigeria ya mwaka 2017 iliyotayarishwa na kuongozwa na Allwell Ademola.
Mwanamume mmoja anakataa kufunga ndoa lakini baadaye anajihusisha kimapenzi na mwanamke ambaye ni muathirika wa ukimwi. Familia yake inachukia mahusiano ya kijana wao na mwanamke huyo na wanataka avunje mahusiano naye.
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu False Flag kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article False Flag, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.