Fifa 18

FIFA 18 ni mchezo wa kompyuta unaohusu mpira wa miguu.

Fifa 18
Picha ya FIFA 18

Mchezo huu upo katika mfululizo wa michezo ya FIFA, ulioendelezwa na kuchapishwa na kampuni ya Electronic Arts na ilitolewa duniani kote tarehe 29 Septemba 2017 kwa ajili ya Microsoft Windows, PlayStation 3, PlayStation 4, Xbox 360, Xbox One na Nintendo Switch. Ni awamu ya 25 katika mfululizo wa FIFA.

Mchezo huu unamilikiwa na mchezaji wa Ureno Cristiano Ronaldo.

Viungo vya nje

Fifa 18  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu FIFA 18 kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KompyutaMchezoMpira wa miguu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uwanja wa Taifa (Tanzania)ChawaMkoa wa RuvumaUgonjwaMkanda wa jeshiUgonjwa wa kuharaYoweri Kaguta MuseveniShambaMauaji ya kimbari ya RwandaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoFutariEthiopiaUkatiliDodoma (mji)SheriaNdovuRamaniKadi ya adhabuTetekuwangaShereheMbwana SamattaLucky DubeUgonjwa wa moyoMajiChris Brown (mwimbaji)WanyamweziOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaAli Hassan MwinyiUchawiMongoliaOrodha ya nchi za AfrikaNyangumiMkoa wa TangaManchester CityTabataMkoa wa KigomaZama za ChumaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUbakajiTreniNguvaChakulaMofimuWagogoKiunguliaKiumbehaiFamiliaNyanda za Juu za Kusini TanzaniaMsengeKondoo (kundinyota)Mkoa wa MwanzaFonolojiaMapambano kati ya Israeli na PalestinaKongoshoTamathali za semiNungununguAustraliaMadhara ya kuvuta sigaraLongitudoDuniaMisriChuiBukayo SakaMsalabaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUNICEFDakuBarabaraTanganyikaNgamiaMichelle ObamaUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUchimbaji wa madini nchini TanzaniaThe Miz🡆 More