Encyclopedia Iranica

Encyclopædia Iranica ni kamusi elezo ya kitaalamu kuhusu historia, utamaduni, na ustaarabu wa watu wa Iran.

Ilianzishwa mwaka 1973 na profesa Ehsan Yarshater ikisimamishwa na taasisi ya Center for Iranian Studies kwenye Chuo Kikuu cha Columbia mjini New York.

Kamusi elezi hiyo inalenga kukusanya elimu ya kitaaluma kuhusu Iran wa leo lakini pia kuhusu maeneo yote yaliyokuwa sehemu za dunia ya Kiajemi katika historia. na uhusiano baina ya Uajemi na tamaduni nyingine kama vile China na Ulaya. Mradi unapanga kuchapisha jumla ya majuzuu 45 lakini tangu mwanzo maudhui yote inapatikana pia katika intaneti kupitia tovuti iranicaonline.org.

Marejeo

Viungo vya nje

Tags:

Kamusi elezoUajemi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Vielezi vya mahaliMnururishoWahaWikipediaWabunge wa Tanzania 2020Roho MtakatifuMwakaTulia AcksonJichoMohammed Gulam DewjiNabii EliyaUlayaAmri KumiHomoniSiriSitiariNdoaMkoa wa TaboraMr. BlueKiimboKinyongaWangoniNyegeJumuiya ya Afrika MasharikiTendo la ndoaKiraiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNetiboliWilaya ya Nzega VijijiniAunt EzekielRose MhandoMichezoIniRadiNdiziMwanzoChuo Kikuu cha Dar es SalaamNdege (mnyama)UfahamuHistoria ya TanzaniaKanda Bongo ManMzeituniKishazi huruSomo la UchumiKupatwa kwa JuaMaktabaWanyaturuMtumbwiKimeng'enyaBiolojiaLuhaga Joelson MpinaKiwakilishi nafsiNambaUfugaji wa kukuKumaNgeliUtumbo mpanaMarekaniShikamooUandishi wa barua ya simuHadithi za Mtume MuhammadKitenziAli KibaUchawiDawa za mfadhaikoDiamond PlatnumzVivumishi vya urejeshiHistoria ya KiswahiliAfrika KusiniMpira wa mkonoMadhara ya kuvuta sigaraAfrikaFasihi andishiNileUnyenyekevu🡆 More