Ibn Sina

Ibn Sina (pia: Avicenna; jina kamili: Abū ʿAlī al-Ḥusayn ibn ʿAbd Allāh ibn Sīnā; kwa Kiarabu ابو علی الحسین ابن عبدالله ابن سینا) ni kati ya wataalamu na wanafalsafa mashuhuri kabisa katika historia ya Uislamu.

Ibn Sina

Alizaliwa mnamo mwaka 980 karibu na mji wa Bukhara katika Khorasan (leo nchini Uzbekistan) akafa mwaka 1037 mjini Hamadan ) katika Uajemi.

Alishughulika sayansi nyingi; alikuwa tabibu na pia mtaalamu wa fizikia, sheria, hisabati, astronomia na kemia.

Kwa jumla alitoa maandiko 450 kuhusu mada mbalimbali na 240 kati ya haya zimepatikana hadi leo. Vitabu vilitafsiriwa kwa lugha mbalimbali hata kwa Kilatini na kwa njia hiyo Ibn Sina alikuwa pia mwalimu wa Ulaya katika tiba na falsafa.

Marejeo

Viungo vya nje

Ibn Sina 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Tags:

HistoriaJinaKiarabuUislamuWanafalsafaWataalamu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Roho MtakatifuMkoa wa RukwaInshaBungeKifua kikuuJérémy DokuMawasilianoMuzikiSimuIsimujamiiHistoria ya KanisaBahari ya HindiKombe la Mataifa ya AfrikaElimuOrodha ya Marais wa ZanzibarMethaliHifadhi ya Taifa ya NyerereBakari Nondo MwamnyetoBata MzingaBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiMkoa wa KilimanjaroKongoshoUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaJuxMtume PetroAfrika ya MasharikiJipuKanga (ndege)Ee Mungu Nguvu YetuMaambukizi nyemeleziVivumishi vya kumilikiOrodha ya vitabu vya BibliaMadiniBwehaKinembe (anatomia)Insha ya kisanaaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBiasharaTausiYoung Africans S.C.Zanzibar (Jiji)Historia ya UislamuUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaUmaskiniVielezi vya mahaliWaduduKiongoziMkoa wa NjombeWabondeiUfugajiUtendi wa Fumo LiyongoMkwawaUEFAMeridianiKigaweKitaluBarua rasmiViwakilishi vya urejeshiUkoloni MamboleoMaghaniUtafitiTungo kiraiUtataTarakilishiYerusalemuHoma ya matumboTanganyika African National UnionWasukumaNamba za simu TanzaniaBundi🡆 More