Dante Alighieri

Dante Alighieri (14 Mei/13 Juni 1265 - 13/14 Septemba 1321) alikuwa mshairi bora wa lugha ya Kiitalia, mwenyeji wa mji wa Firenze, Italia.

Dante Alighieri
Dante Alighieri jinsi alivyochorwa na Giotto wakati wa maisha yake

Anasifiwa kama baba wa lugha ya Kiitalia akiwa mwanashairi maarufu wa kwanza aliyeandika kwa lugha ya watu badala ya Kilatini cha wataalamu na wasomi. Hutazamwa pia kama mshairi muhimu zaidi wa kipindi cha zama za kati za Ulaya.

Upande wa dini, alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki, tena mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Divina Commedia

Kazi yake kuu ni shairi refu la Divina Commedia ambamo anatoa habari za safari yake ya kidhahania huko ahera akipitia jehanamu, toharani hadi paradiso. Ndiyo sehemu tatu za shairi lake zinazomwezesha kukiri imani yake ya Kikristo na kuchukua msimamo kuhusu watu na matukio hasa ya wakati wake.

Marejeo

Dante Alighieri 
De vulgari eloquentia, 1577
Dante Alighieri  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dante Alighieri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

126513 Juni132114 Mei14 SeptembaFirenzeItaliaKiitaliaMshairi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SimbaMkopo (fedha)NyegereUchawiKwaresimaMtiFacebookWayahudiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaKiunguliaMartin LutherKitabu cha ZaburiLugha ya kwanzaGeorDavieMuziki wa dansi wa kielektronikiBob MarleyVitendawiliMimba kuharibikaMwaniHifadhi ya mazingiraInsha ya wasifuNyumbaBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaMaisha ya Weusi ni muhimuMapafuNomino za dhahaniaViwakilishi vya idadiVivumishi vya urejeshiSamakiKishazi huruDhambiNamba za simu TanzaniaBungeNambaChris Brown (mwimbaji)Vita Kuu ya Kwanza ya DuniaShomari KapombeAndalio la somoMagharibiMalariaVivumishi vya kumilikiMaliasiliTowashiYesuFMKata za Mkoa wa Dar es SalaamOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoShairiBiasharaTiba asilia ya homoniPikipikiBibliaOrodha ya vitabu vya BibliaDuniaAgano la KaleIniMavaziUgandaFasihiDTanganyika (ziwa)Jamhuri ya Watu wa ZanzibarAfrika ya MasharikiKumaHadhiraBustani ya EdeniAla ya muzikiHifadhi ya SerengetiDaktariRohoKoalaMrisho NgassaRwandaNomino za wingiPasaka ya KikristoMaudhuiPonografia🡆 More