Bohri

Bohri (pia: Bori) ni elementi sintetiki yenye namba atomia 107 kwenye mfumo radidia. Imepewa jina lake kwa heshima ya mwanafizikia Niels Bohr.

Bohri
Bohri
Jina la Elementi Bohri
Alama Bh
Namba atomia 107
Mfululizo safu metali ya mpito
Uzani atomia 262,1229 u
Valensi 2, 8, 18, 32, 32, 13, 2
Ugumu (Mohs) {{{ugumu}}}
Asilimia za ganda la dunia 0
Bohri
Niels Bohr

Ni nururifu sana na hadi sasa haina matumizi nje ya utafiti wa kisayansi kutokana nusumaisha yake mafupi mno ambayo ni sekunde 61 tu kwa isotopi yake imara zaidi Bh-270 lakini isotopi nyingine zina nusumaisha mafupi tena.

Bohri Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bohri kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMtandao wa kompyutaVielezi vya idadiMethaliAli Hassan MwinyiAntibiotikiNyokaHadithiOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaNdiziMasharikiMashariki ya KatiEkaristiMkoa wa TangaRamadan (mwezi)Vitenzi vishirikishi vikamilifuMapafuKanzuOrodha ya makabila ya TanzaniaMeta PlatformsKamusi za KiswahiliJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaKilimoTelevisheniTashtitiNapoleon BonaparteMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaJihadiUundaji wa manenoKitunguuKamusiRadiTenziMuundo wa inshaBarua rasmiFisiAir TanzaniaPicha takatifuUlumbiUchekiJogooKiunguliaWangoniMpwaOrodha ya milima ya TanzaniaBendera ya TanzaniaWhatsAppJackie ChanWiktionaryBenjamin MkapaMarekaniWasukumaAslay Isihaka NassoroSaddam HusseinMaadiliMizimuKiambishi awaliDiniUzazi wa mpango kwa njia asiliaJohn MagufuliNominoNambaAlomofuHistoria ya uandishi wa QuraniSimba S.C.MjasiriamaliMalariaMagonjwa ya machoYoung Africans S.C.Maambukizi ya njia za mkojoUandishiMapenzi🡆 More