Biografia

Biografia (kutoka Kiingereza Biography) ni neno la kutaja habari za kweli za maisha ya mtu.

Asili ya neno ni Kigiriki, hasa lilitaja bios (= maisha) na graphein (= andika).

Biografia kwa Kiswahili kilichozoeleka ni "Wasifu", japo kumekuwa na tabia ya kukopa maneno.

Wasifu ukiandikwa na mhusika unaitwa "tawasifu" ambayo kwa Kiingereza inaitwa autobiography.

Biografia ni sehemu ya fasihi. Kupitia maandishi mbalimbali, biografia inaweza pia kutengenezewa filamu na kadhalika.

Biografia Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Biografia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiingerezaMaishaMtuNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kigoma-UjijiUrusiViwakilishi vya urejeshiBahashaMkoa wa SimiyuNahauIniAlama ya uakifishajiUshairiUfaransaKiharusiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaWilaya ya KinondoniKupatwa kwa JuaAdhuhuriNgeliTreniKitenziUtafitiKishazi huruUwezo wa kusoma na kuandikaRose MhandoPijini na krioliDiniVivumishiOsama bin LadenKadi za mialikoNamba tasaUbongoUfahamuVielezi vya namnaHoma ya mafuaHistoria ya KiswahiliNyotaWhatsAppSeli nyekundu za damuMunguNgw'anamalundiKiambishi awaliElimuTabiaSimuKoffi OlomideIsraeli ya KaleVichekeshoVisakaleDini asilia za KiafrikaFacebookMandhariLigi Kuu Tanzania BaraNge (kundinyota)Fumo LiyongoFran BentleyMagonjwa ya machoMsalabaKitenzi kishirikishiJumuiya ya Afrika MasharikiNdege (mnyama)MaghaniDoto Mashaka BitekoMtakatifu PauloNyanda za Juu za Kusini TanzaniaMatumizi ya LughaMofimuBendera ya TanzaniaVasco da GamaRushwaMoses KulolaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoKitenzi elekeziKuchaOrodha ya vitabu vya BibliaUkuaji wa binadamu🡆 More