Bernard Kamilius Membe

Bernard Kamilius Membe (Rondo, Chiponda, Wilaya ya Lindi Vijijini, 9 Mei 1953 - Dar es Salaam, 12 Mei 2023) alikuwa mwanasiasa wa Tanzania aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaitaifa chini ya rais Jakaya Kikwete pamoja na kuwa mbunge wa jimbo la Mtama katika bunge la kitaifa.

Mwaka 2016 alitaka kugombea urais kwa tiketi ya chama cha CCM akashindwa kupata nafasi.

Bernard Kamilius Membe
Bernard Membe (2009).

Mnamo 2018 alilaumiwa katika gazeti la Tanzanite kuwa alijaribu kumzuia rais John Magufuli asipewe nafasi ya kugombea tena mwaka 2020. Membe alifungua kesi ya machafuko jina dhidi ya gazeti na mhariri wake.

Mwaka 2019 Membe aliitwa mbele ya kamati kuu ya CCM na kuhojiwa kuhusu mashtaka ya kula njama dhidi ya rais akafukuzwa katika chama.

Baada ya kufukuzwa katika chama hicho alihamia chama cha ACT Wazalendo akawa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho mwaka 2020. Katika kampeni alionyesha juhudi kidogo tu. Baada ya uchaguzi aliondoka tena katika ACT .

Mwaka 2021 Membe aliripotiwa kuwa alijitahidi kurudi CCM. Kwenye Oktoba 2021 alishinda kesi yake ya mwaka 2018 dhidi ya Cyprian Musiba mhariri wa Tanzanite aliyehukumiwa kumlipa Membe TSh bilioni 6.

Tazama pia

Marejeo

Tags:

12 Mei1953201620239 MeiBungeChama cha MapinduziChama cha kisiasaChipondaDar es SalaamJakaya KikweteJimboMbungeMtamaRaisSiasaTanzaniaUraisWaziriWilaya ya MtamaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MilaUyogaUyahudiShengClatous ChamaKongoshoMaumivu ya kiunoUtamaduni wa KitanzaniaDayolojiaPikipikiUfahamuKichomi (diwani)AmfibiaMapambano ya uhuru TanganyikaPapaVivumishi vya ambaMivighaOrodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaHistoria ya ZanzibarShelisheliAndalio la somoMotoShabaniZana za kilimoNamba tasaEe Mungu Nguvu YetuVivumishi vya idadiKipanya (kompyuta)Sanaa za maoneshoVincent KigosiRamadhaniAzimio la kaziSeliMtiZama za MaweBenjamin MkapaHarmonizeMaana ya maishaOrodha ya makabila ya KenyaEdward SokoineShirikisho la MikronesiaZambiaMwanga wa juaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaChuchu HansIsimujamiiSentensiJLibidoFonimuVipaji vya Roho MtakatifuAngkor WatIsaUkoloni MamboleoNdoa ya jinsia mojaBustani ya wanyamaJidaBustani ya EdeniProtiniUaminifuMohammed Gulam DewjiKiingerezaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShairiMatiniUandishi wa ripotiAli Hassan MwinyiWembeFerbutaMtandao wa kijamiiVielezi vya mahaliMtakatifu PauloSimbaShinikizo la juu la damuOrodha ya Marais wa KenyaKiarabuKinembe (anatomia)🡆 More