Aust-Agder

Aust-Agder ni moja kati ya Majimbo ya Norwei (fylke).

Imepakana na Telemark, Rogaland, na Vest-Agder. Kunako mwaka wa 2002, kulikuwa na wakazi takriban 102,945, ambayo ni 2.2% ya jumla ya idadi ya wakazi wa nchini Norwei. Ni kweli ina kilomita za mraba zupatazo 9,212 (3,557 sq mi). Kitovu cha utawala wa jimboni hapa ni mjini Arendal.

Aust-Agder
Vegår, Aust-Agder
Aust-Agder
Mahali pa Aust-Agder nchini Norwei

Jimbo, ambalo lipo katika pwani ya Skagerrak, linatoka Gjernestangen hadi Risør hadi Kvåsefjorden hadi Lillesand. Sehemu za ndani za maeneo yake ni pamoja na Setesdalsheiene na Austheiene. Takriban 77% ya wakazi wake wanaishi katika eneo la pwani, ambapo ndipo kuna ujenzi mkubwa kabisa. Utalii ni muhimu mjini hapa, kama jinsi ilivyo Arendal na miji mingine ya pwani ni vivutio maarufu.

Jimbo hili linajumuisha kisiwa cha Tromøy, Justøya, na Sandøya. Ndani ya jimbo linajumuisha wilaya ya Setesdal, kupitia mto Otra unaomwagikia baharini.

Manispaa zake

Aust-Agder imegawanyika katika manispa 15:

Ukubwa Jina Wakazi Eneo km² Map
Aust-Agder 
Manispaa za Aust-Agder
&0000000000000001.0000001 Aust-Agder  Arendal &0000000000041655.00000041,655 &0000000000000256.000000256
&0000000000000002.0000002 Aust-Agder  Grimstad &0000000000020497.00000020,497 &0000000000000273.000000273
&0000000000000003.0000003 Aust-Agder  Lillesand &0000000000009465.0000009,465 &0000000000000180.000000180
&0000000000000004.0000004 Aust-Agder  Risør &0000000000006894.0000006,894 &0000000000000179.000000179
&0000000000000005.0000005 Aust-Agder  Tvedestrand &0000000000005939.0000005,939 &0000000000000204.000000204
&0000000000000006.0000006 Aust-Agder  Froland &0000000000005002.0000005,002 &0000000000000605.000000605
&0000000000000007.0000007 Aust-Agder  Birkenes &0000000000004689.0000004,689 &0000000000000633.000000633
&0000000000000008.0000008 Aust-Agder  Evje og Hornnes &0000000000003397.0000003,397 &0000000000000521.000000521
&0000000000000009.0000009 Aust-Agder  Gjerstad &0000000000002478.0000002,478 &0000000000000308.000000308
&0000000000000010.00000010 Aust-Agder  Vegårshei &0000000000001886.0000001,886 &0000000000000322.000000322
&0000000000000011.00000011 Aust-Agder  Åmli &0000000000001861.0000001,861 &0000000000001068.0000001,068
&0000000000000012.00000012 Aust-Agder  Valle &0000000000001289.0000001,289 &0000000000001135.0000001,135
&0000000000000013.00000013 Aust-Agder  Iveland &0000000000001254.0000001,254 &0000000000000250.000000250
&0000000000000014.00000014 Aust-Agder  Bygland &0000000000001223.0000001,223 &0000000000001156.0000001,156
&0000000000000015.00000015 Aust-Agder  Bykle &0000000000000970.000000970 &0000000000001256.0000001,256
Jumla Aust-Agder  Aust-Agder &0000000000108499.000000108,499 &0000000000009158.0000009,158

Tazama pia

  • Vest-Agder
  • Sørlandet
  • Agder

Marejeo

Viungo vya Nje

58°34′00″N 08°34′00″E / 58.56667°N 8.56667°E / 58.56667; 8.56667

Aust-Agder  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Aust-Agder kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Aust-Agder Manispaa zakeAust-Agder Tazama piaAust-Agder MarejeoAust-Agder Viungo vya NjeAust-AgderMajimbo ya NorweiRogaland

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

RayvannyMamba (mnyama)25 ApriliMaktabaKoroshoGongolambotoMnyamaMkoa wa TangaMtandao wa kijamiiAli Hassan MwinyiIntanetiMadhara ya kuvuta sigaraViwakilishi vya kumilikiNathariLughaHistoria ya UislamuWanyama wa nyumbaniBabeliChristina ShushoJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWilaya ya NyamaganaNgonjeraUlumbiBaruaTulia AcksonVirusi vya CoronaNguzo tano za UislamuMpira wa miguuHistoria ya IranKinyongavvjndInshaBarua rasmiMaadiliKataMaji kujaa na kupwaAina za manenoPesaIdi AminLongitudoVokaliHaki za watotoKisukuruJakaya KikweteAli KibaMvua ya maweJichoTafsiriKondomu ya kikeMnyoo-matumbo MkubwaIndonesiaHalmashauriOrodha ya milima mirefu dunianiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMkunduWakingaMaambukizi nyemeleziPapaTanganyika (maana)KichecheVitenzi vishirikishi vikamilifuUbongoNenoPentekosteMohamed HusseinWachaggaWahayaJamiiFasihi simuliziMtandao wa kompyutaMwanza (mji)FutiWarakaWaluguru🡆 More