Akko

Akko (kwa Kiebrania: עַכּוֹ, ʻAkkō; pia: Akka (kwa Kiarabu: عكّا, ʻAkkā; uliwahi kuitwa pia: Tolemais) ni mji wa pwani katika Israeli Kaskazini.

Una bandari asili katika Hori ya Haifa.

Akko
Akko kutoka juu.

Kutokana na umuhimu wa mahali ulipo, umekaliwa na watu mfululizo tangu zama za Shaba hadi leo, ingawa uliwahi kuangamizwa mara kadhaa.

Wakazi wa sasa ni 48,000 hivi.

Mwaka 58 Mtume Paulo alikaa siku moja na Wakristo wa huko mwishoni mwa safari yake ya tatu ya kimisionari, akielekea Yerusalemu (Mdo 21:7)

Umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.

Ni pia makao makuu ya dini ya Bahai.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Akko 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Akko  Akko travel guide kutoka Wikisafiri

Akko  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Akko kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

BandariIsraeliKaskaziniKiarabuKiebraniaMjiPwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mitume wa YesuSinagogiOrodha ya makabila ya TanzaniaKaswendeVivumishiPombeUtumbo mwembambaEdward SokoineKunguruSiasaJinsiaWema SepetuNdoaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaShengMfumo wa JuaWilaya ya Nzega VijijiniVieleziKitenzi kikuu kisaidiziBloguMsamiatiBiashara ya watumwaMapambano kati ya Israeli na PalestinaYouTubeWhatsAppUsafi wa mazingiraWimboMtakatifu MarkoMilango ya fahamuMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaLiverpool F.C.Orodha ya Makamu wa Rais TanzaniaNetiboliUharibifu wa mazingiraMillard AyoIsimuDubai (mji)MahindiBaraMbaraka MwinsheheVidonda vya tumboAmina ChifupaInsha za hojaUpinde wa mvuaRita wa CasciaWagogoMkoa wa ManyaraUandishi wa barua ya simuMoyoMkoa wa KigomaRuge MutahabaMeta PlatformsMwanza (mji)Muda sanifu wa duniaVichekeshoKisimaKanisa KatolikiBaraza la mawaziri TanzaniaMikoa ya TanzaniaTabianchiKonyagiUtendi wa Fumo LiyongoKamusi za KiswahiliAustraliaTanganyikaChakulaUbungoUmoja wa MataifaMivighaHarmonizeMshubiriUislamu🡆 More