Akasi wa Amida (alifariki Amida, leo Diyarbakir nchini Uturuki, 425) alikuwa askofu wa mji huo aliyepata umaarufu kwa kuuza vyombo vya ibada kwa kukubaliana na waklero wake ili kukomboa Waajemi 7,000 waliotekwa na Warumi na kutesha hata kuachwa bila chakula
Baadaye hao waliongokea Ukristo naye aliwarudisha kwao. Tendo hilo lilimgusa mtawala wa Uajemi na kuandaa magungumzo ya amani.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Akasi wa Amida, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.