Yoweri Kaguta Museveni

Yoweri Kaguta Museveni (* 1944 Ntungamo, Wilaya ya Ntungamo, Uganda) ni Rais wa Uganda tangu 29 Januari 1986.

Alichukua madaraka baada ya kushinda vita vya msituni chini ya kundi la National Resistance Movement na kushinda katika chaguzi za urais za mwaka 1996, 2001 na 2006.

Yoweri Kaguta Museveni
Yoweri Museveni, 2015

Kwa muda mrefu, kabla ya kuwa rais wa Uganda, Museveni aliongoza vita vya msituni dhidi ya serikali za Idd Amin aliyetawala toka mwaka 1971-79, na serikali ya Milton Obote aliyekuwa madarakani mwaka 1980-85.

Kutokana na mafanikio ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi na kukubali kwake kufuata sera za Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani, Museveni alipata sifa kubwa toka kwa viongozi wa mataifa ya Magharibi. Mwishoni mwa miaka ya 1990, Museveni alikuwa akielezewa kuwa ni mfano bora wa kizazi kipya cha viongozi wa Afrika.

Hata hivyo uongozi wake umetiwa dosari na mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na ushiriki wake katika vita vya wenyewe kwa wenyewe katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda. Mambo mengine ni pamoja na ukiukwaji wa haki za kisiasa unaofanywa na serikali yake dhidi ya wapinzani kama vile Kizza Besigye na kitendo cha kubadili katiba ya nchi hiyo ili aweze kugombea urais mwaka 2006.

Alichagua Pico Taro (mwanamuziki wa Kijapani) kama balozi wa utalii wa Uganda mnamo Oktoba 6, 2017.

Viungo vya nje

Yoweri Kaguta Museveni  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yoweri Kaguta Museveni kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1944198629 JanuariNtungamoOrodha ya Marais wa UgandaUganda

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya maziwa ya TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuLigi Kuu Tanzania BaraKichochoMmeng'enyoUpendoMafua ya kawaidaClatous ChamaUzazi wa mpangoViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Ukomeshaji wa Biashara ya WatumwaSaidi NtibazonkizaTanganyika African National UnionDhima ya fasihi katika maishaMfumo wa Msimbo wa Posta TanzaniaWakaguruWangoniKatibaNdoo (kundinyota)BungeMobutu Sese SekoYombo VitukaMkataba wa Helgoland-ZanzibarLahajaUturukiKoroshoAmri KumiDiamond PlatnumzKiburiNdege (mnyama)ManispaaFutiHeshimaMashuke (kundinyota)WakingaHakiVivumishi vya pekeeKaswendeUtandawaziFalme za KiarabuJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaWanyamweziHomoniMichezo ya watotoAlomofuMohamed HusseiniRohoViungo vinavyosafisha mwiliRoho MtakatifuMsokoto wa watoto wachangaMfumo wa uendeshajiRayvannyMtemi MiramboUmemeSalim Ahmed SalimMpira wa kikapuMagonjwa ya machoUgonjwa wa kuharaNamba za simu TanzaniaUkongaWazigulaViwakilishi vya idadiBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiPesaIndonesiaHistoria ya KiswahiliMvua ya maweGhanaWayao (Tanzania)UfugajiViwakilishi vya kuoneshaMkoa wa SongweUkristo barani Afrika🡆 More