Zlatan Ibrahimovic

Zlatan Ibrahimovic (alizaliwa 3 Oktoba 1981) ni mchezaji wa mpira wa miguu aliye maarufu duniani.

Zlatan Ibrahimovic
Zlatan Ibrahimovic (2013)

Ni mzaliwa wa Sweden na ni mshambulizi mkali sana. Anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira ufikapo miguuni pake, pia ana uwezo mkubwa sana wa kupiga mashuti makali mno kana kwamba akiwa yeye na kipa, kipa hana ujasiri wa kudaka mpira wake.

Baadhi ya timu alizochezea ni: AFC Ajax, Barcelona F.C., Inter Milan, AC Milan, Manchester United na PSG ambapo alipata mafanikio makubwa sana, na hata kujinyakulia baadhi ya makombe makubwa likiwemo kombe la UEFA, kombe la ligi kuu Ufaransa, Ligue 1 mara 15 na mengine makubwa.

Kwa sasa Ibrahimovic anachezea tena timu ya A.C. Milan inayopatikana Italia.

Zlatan Ibrahimovic Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zlatan Ibrahimovic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19813 OktobaDunianiMchezajiMpira wa miguu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mbadili jinsiaMwana FAKonsonantiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaRohoChakulaUhifadhi wa fasihi simuliziUislamuBarua rasmiDaudi (Biblia)TafakuriMafumbo (semi)IkwetaJoseph ButikuMkoa wa SimiyuMchwaViwakilishi vya idadiViwakilishi vya kuoneshaSakramentiUharibifu wa mazingiraIfakaraUnyagoKhalifaZabibuNg'ombeStadi za lughaOrodha ya Marais wa MarekaniUaWilaya ya IlalaMkoa wa TangaMbuniUenezi wa KiswahiliMsokoto wa watoto wachangaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaWameru (Tanzania)Uvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMatumizi ya LughaKiolwa cha anganiRejistaFutiMartin LutherKidole cha kati cha kandoJohn MagufuliMkoa wa ShinyangaSanaaAbrahamuNyukiWasukumaMizimuMaambukizi nyemeleziMohamed HusseinVirusi vya CoronaUandishiLady Jay DeeMiundombinuMkoa wa Unguja Mjini MagharibiHistoria ya TanzaniaKanye WestKarafuuMbeya (mji)BloguTulia AcksonKiarabuJose ChameleoneMkoa wa DodomaMr. BlueAthari za muda mrefu za pombeKipazasautiVivumishi vya kumilikiKipindupinduArusha (mji)Insha ya wasifuFamilia🡆 More