Yohane Wa Triora

Yohane wa Triora (alizaliwa Francesco Maria Lantrua huko Molini di Triora, Italia, 15 Machi 1760) alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Waoservanti na padri aliyefia dini huko Changsha, Hunan, China tarehe 7 Februari 1816).

Yohane Wa Triora
Sanamu yake katika kijiji alikozaliwa.

Kwanza aliteswa sana gerezani, halafu akanyongwa.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini tangu tarehe 1 Oktoba 2000, alipotangazwa na Papa Yohane Paulo II. Kabla ya hapo alitangazwa mwenye heri na Papa Leo XIII tarehe 27 Mei 1900.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake.

Tazama pia

Tanbihi

Yohane Wa Triora  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

15 Machi176018167 FebruariChangshaChinaDiniHunanItaliaMtawaNdugu WadogoPadriTarehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tungo kiraiViunganishiOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaIstilahiZiwa ViktoriaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaMbooFiston MayeleHektariNyegeMagonjwa ya machoMkoa wa MaraAli Hassan MwinyiUajemiUhuru wa TanganyikaBustaniSaidi Salim BakhresaViwakilishi vya kuoneshaMbaraka MwinsheheLahajaSalaNguruweUongoziTafsiriStephane Aziz KiUgirikiWarakaChuiSilabiKiongoziKiraiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoIfakaraSteven KanumbaAina za manenoMafumbo (semi)Afrika ya MasharikiParachichiTungo sentensiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiFutiArudhiLakabuMohamed HusseinAsili ya KiswahiliUrusiSomo la UchumiVisakaleDiniOrodha ya Marais wa NamibiaSoko la watumwaMoyoNomino za jumlaJinsiaNzigeKhadija KopaWachaggaFatma KarumeUkweliUtoaji mimbaUmojaTungoMkoa wa ShinyangaNungununguBabeliKishazi tegemeziMariooTabiaChuo Kikuu cha DodomaAndalio la somoMtakatifu MarkoWilaya ya IlalaTohara🡆 More