Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (Kiingereza: Ministry of Education and Vocational Training kifupi (MOE)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania.
Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
Nchi ya Tanzania haitumii sana mfumo wa shule za ufundi, kumbe zinahitajika ili kuwe na maendeleo kama mataifa mengine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.