Kanaani

Kanaani ni jina la zamani la eneo la Mashariki ya Kati ambalo siku hizi limegawanyika katika nchi za Israeli na Palestina, Lebanoni na sehemu za Magharibi za Jordan na Sirya.

Kanaani
Wakanaani walivyochorwa na Wamisri katika karne ya 13 KK.

Katika Biblia jina hilo (kwa Kiebrania כנען, knaʿn) linatumika zaidi kumaanisha sehemu ile tu ambayo ilitekwa na Waisraeli na kuitwa Israeli. Sehemu hiyohiyo baadaye tena ilikuja kuitwa pia Palestina, yaani nchi ya Wafilisti.

Baada ya mataifa hayo mawili kuteka sehemu kubwa upande wa Kusini kuanzia karne ya 13 KK, ile ya Kaskazini zaidi iliyobaki chini ya wakazi asili ilikuja kuitwa pia Foinike.

Katika eneo hilo kati ya Mesopotamia na Misri kuanzia milenia ya 4 KK ulistawi ustaarabu muhimu wa Kisemiti ambao, kati ya michango mingine, ni asili ya alfabeti.

Habari nyingi kuhusu ustaarabu huu zimejulikana hasa kwa njia ya akiolojia.

Tanbihi

Marejeo

  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  
  •  

Viungo vya nje

Kanaani  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

IsraeliJordanLebanoniMagharibiMashariki ya KatiPalestinaSirya

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa MaraKipaimaraMohammed Gulam DewjiOrodha ya nchi za AfrikaMitume na Manabii katika UislamuJohn MagufuliUfahamuTesistosteroniSheriaKiunzi cha mifupaMkoa wa MbeyaNguruweSerikaliUchimbaji wa madini nchini TanzaniaChuo Kikuu cha Dar es SalaamJumaDioksidi kaboniaHali maadaWenguKisiwa cha MafiaHedhiMwanaumePasifikiDakuMbaraka MwinsheheBaraza la mawaziri TanzaniaNguzo tano za UislamuMagonjwa ya machoRedioAfrika ya MasharikiOrodha ya Marais wa TanzaniaManchester CityTanganyikaNgiriWahaNguvaYuda IskariotiWayahudiMatendeSamakiMpira wa miguuHektariImaniUlemavuKoffi OlomideRiwayaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaOrodha ya miji ya TanzaniaUbakajiTundaJogooMahakama ya TanzaniaWairaqwNyweleMajira ya baridiChawaKombe la Dunia la FIFAShetaniNgeli za nominoTenziMbeya (mji)Majina ya Yesu katika Agano JipyaSaidi NtibazonkizaMbooSamia Suluhu HassanWayao (Tanzania)Homa ya mafuaKalenda ya GregoriAC MilanUtamaduniMashariki ya KatiSabatoBenjamin MkapaBarabaraOrodha ya milima ya Tanzania🡆 More