Wilhelm Conrad Röntgen (27 Machi 1845 – 10 Februari 1923) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani.
Hasa anajulikana kwa ugunduaji wa mionzi ya eksirei. Mwaka wa 1901 alikuwa mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Elementi sintetiki ya Roentgeni ilipewa jina kwa heshima yake Roentgen.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wilhelm Röntgen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wilhelm Röntgen, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.