Wiki Ya Kiajemi

Wiki ya Kiajemi (Kiajemi: ویکی‌پدیا، دانشنامهٔ آزاد, Vikipedia, Daneshname-ye Azad maana yake Wikipedia, Kamusi Elezo Huru) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiajemi.

Toleo la Wikipedia kwa lugha ya Kiajemi, lilianzishwa mnamo mwezi wa Januari katika mwaka wa 2004. Ilipita idadi ya makala 1,000 mnamo tar. 16 Desemba 2004 (26 Adhar 1383 Hsh) na lengo la makala 10,000 lilifikiwa kunako tar. 18 Februari 2006. Na kwa tar. 6 Mei 2009, imekuwa na makala 60,083.

Favicon of Wiki Wikipedia Ya Kiajemi Wikipedia ya Kiajemi
Wikipedia Ya Kiajemi
Kisarahttp://fa.wikipedia.org/
Ya kibiashara?Hapana
Aina ya tovutiMradi wa Kamusi Elezo ya Interneti
KujisajiriHiari
Lugha asiliaKiajemi
MmilikiWiki Foundation

Wiki ya Kiajemi ilianzishwa kwa juhudi za Roozbeh Pournader na wachangiaji.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikipedia Ya Kiajemi 
Wiki
Wikipedia ya Kiajemi ni toleo la Wiki, kamusi elezo huru
Wikipedia Ya Kiajemi  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wiki ya Kiajemi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

16 Desemba18 Februari2004200620096 MeiKamusi elezoKiajemiWikipedia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkabailaTreniSkautiAmri KumiMichezo ya watotoYesuOrodha ya majimbo ya MarekaniJacob StephenAshokaMakabila ya IsraeliJihadiMaji kujaa na kupwaKukiShambaVichekeshoOrodha ya milima ya TanzaniaKalenda ya GregoriJotoKylian MbappéOrodha ya miji ya TanzaniaUtandawaziVita ya Maji MajiBikiraZuchuIsraeli ya KaleUnyevuangaWayao (Tanzania)SheriaMapigo yasiyo ya kawaida ya moyoMunguMuda sanifu wa duniaMahakama ya TanzaniaUzazi wa mpangoWilaya za TanzaniaUandishi wa barua ya simuVivumishi vya pekeeVivumishi vya sifaPentekosteUandishiMandhariMwenyekitiMishipa ya damuTafsiriLeopold II wa UbelgijiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiLil WayneRadiKondoo (kundinyota)Injili ya YohaneKiarabuUhuru wa TanganyikaUislamuKwaresimaSemiMweziHistoria ya uandishi wa QuraniNamba ya mnyamaTiba asilia ya homoniMajira ya baridiNjia ya MsalabaKuraniNguzo tano za UislamuOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaHomanyongo CChadOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaFasihi andishiUmoja wa MataifaNgono zembeWameru (Tanzania)Lugha za KibantuKunguniMaambukizi ya njia za mkojoUkristoYouTube🡆 More