Kenge

Familia 4:

Kenge
Mburukenge (Varanus niloticus)
Mburukenge (Varanus niloticus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Reptilia (Wanyama wenye damu baridi na magamba ngozini)
Oda: Squamata
Oppel, 1811
Nusuoda: Anguimorpha
Familia ya juu: Varanoidea
Münster, 1834
Ngazi za chini

  • Helodermatidae Gray, 1837
  • Lanthanotidae Steindachner, 1878
  • †Palaeovaranidae Georgalis, 2017
  • Varanidae Merrem, 1820

Kenge au uru ni wanyama wafananao na mamba wadogo katika familia ya juu Varanoidea. Wana mwili mwembamba, miguu mirefu na mkia mrefu.

Mwainisho

  • Familia ya juu: Varanoidea
    • Familia: Helodermatidae
      • Jenasi: Heloderma
    • Familia: Lanthanotidae
      • Jenasi: Lanthanotus
    • Familia: Palaeovaranidae
      • Jenasi: PalaeovaranusKabla ya historia
    • Familia: Varanidae
      • Jenasi: IberovaranusKabla ya historia
      • Jenasi: OvooKable ya historia
      • Jenasi: SaniwaKabla ya historia
      • Jenasi: Varanus
        • Nusujenasi: Empagusia
        • Nusujenasi: Euprepiosaurus
        • Nusujenasi: Odatria
        • Nusujenasi: Papusaurus
        • Nusujenasi: Philippinosaurus
        • Nusujenasi: Polydaedalus
        • Nusujenasi: Psammosaurus
        • Nusujenasi: Soterosaurus
        • Nusujenasi: Varaneades
        • Nusujenasi: Varanus

Spishi za Afrika

Nusujenasi Polydaedalus

  • Varanus albigularis, Kenge-mawe (Rock monitor)
    • Varanus a. albigularis, Kenge Koo-jeupe Kusi
    • Varanus a. angolensis, Kenge wa Angola
    • Varanus a. microstictus, Kenge Koo-jeupe Mashariki
    • Varanus a. ionidesi, Kenge Koo-jeusi
  • Varanus exanthematicus, Kenge-savana (Savannah monitor)
  • Varanus niloticus, Mburukenge (Nile monitor)
  • Varanus stellatus, Mburukenge Magharibi (Wester African Nile monitor)

Nusujenasi Psammosaurus

Picha

Kenge  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kenge kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha za KibantuBikira MariaMofimuWallah bin WallahKombe la Dunia la FIFAMapenziMichelle ObamaTanzania Breweries LimitedKunguniIniMafua ya kawaidaMashuke (kundinyota)Mfumo wa mzunguko wa damuAmri KumiOrodha ya Watakatifu WakristoWilliam RutoSkeliDhima ya fasihi katika maishaThe MizUchimbaji wa madini nchini TanzaniaHali maadaOrodha ya miji ya TanzaniaWachaggaMsibaSarufiChadMtaalaKitenziMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaUturukiLughaYesuKilatiniAbrahamuRwandaFiston MayeleShetaniVivumishi vya pekeeZama za MaweInstagramLigi ya Mabingwa AfrikaMsengeWizara za Serikali ya TanzaniaTabainiMbooKilimanjaro (Volkeno)SamakiMkoa wa TaboraUgonjwa wa moyoUzazi wa mpango kwa njia asiliaKisasiliOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaNominoUhifadhi wa fasihi simuliziMfumo katika sokaMalawiAntibiotikiSanaa za maoneshoFamiliaMpwaJinaKalenda ya KiislamuDaudi (Biblia)Ugonjwa wa uti wa mgongoSinagogiUmoja wa AfrikaMkoa wa ArushaMivighaBiblia ya KikristoRamadan (mwezi)TashtitiSumakuVielezi vya mahali🡆 More