Tiberia (pia: Tiberias; awali: Yam Ha-Kineret) ni mji wa Israeli kwenye pwani ya ziwa Galilaya, ambalo pengine linaitwa ziwa au bahari ya Tiberia (Yoh 6:1).
Mji huo ni maarufu kwa sababu Injili zinautaja kuhusiana na Yesu kuzidisha mikate na samaki kwa ajili ya umati (Yoh 6:23) na baada ya ufufuko wake kuwaandalia wanafunzi wake mikate na samaki juu ya makaa (Yoh 21:1).
Makala kuhusu Israeli bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Tiberia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.