The Jackson 5 lilikuwa kundi la muziki wa roki la nchini Marekani lililoundwa na wanamuziki watano; mmojawapo ni Michael Jackson.
Nyimbo zilizoimbwa na kundi hili ni kama "The Love You Save", "I Will Be There", "Mamas Pearl" na "Never Can Say Goodbye".
The Jackson 5 | |
---|---|
The Jackson 5, mnamo 1972 | |
Maelezo ya awali | |
Asili yake | Gary, Indiana, Marekani |
Aina ya muziki | Motown, R&B, Funk,soul, pop, disco |
Miaka ya kazi | 1966–1989 |
Studio | Steeltown, Motown, Philadelphia International, Epic |
Wanachama wa zamani | |
Jackie Jackson Tito Jackson Jermaine Jackson Marlon Jackson Michael Jackson† Randy Jackson |
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu The Jackson 5 kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article The Jackson 5, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.