Happy ni wimbo uliorekodiwa na Michael Jackson akiwa bado bwana mdogo.
Wimbo ulirekodiwa katika studio ya Motown mnamo mwaka wa 1973. Wimbo unatoka katika albamu yake ya Music and Me. Wimbo ulitolewa kama single kunako mwaka wa 1973, na kisha akaja kuutoa tena kunako mwaka wa 1983 kwa ajili ya kuipromoti albamu yake ya nyimbo mchanganyiko ya 18 Greatest Hits - ilioitwa Michael Jackson Plus The Jackson 5. Wimbo ulishika #52 kwenye chati za British pop chart.
“Happy” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Michael Jackson kutoka katika albamu ya Music and Me | |||||
Imetolewa | 1973 1983 (imetolewa tena) | ||||
Imerekodiwa | 1973 | ||||
Aina | Pop-Rock/R&B | ||||
Studio | Motown | ||||
Mtunzi | Michel Legrand na Smokey Robinson | ||||
Mtayarishaji | The Corporation | ||||
Mwenendo wa single za Michael Jackson | |||||
|
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Happy (wimbo wa Michael Jackson), which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.