Shakwe

Larus Linnaeus, 1758 Pagophila Kaup, 1829 Rissa Stephens, 1826 Rhodostethia MacGillivray, 1842 Xema Leach, 1819

Shakwe
Shakwe kichwa-kijivu
Shakwe kichwa-kijivu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Charadriiformes (Ndege kama vitwitwi)
Familia: Laridae (Ndege walio na mnasaba na shakwe)
Jenasi: Creagrus Bonaparte, 1854

Shakwe ni ndege wa familia Laridae. Watu wengi huita spishi za Sternidae shakwe pia. Spishi za Laridae zina michanganyiko ya rangi nyeupe, nyeusi na ya kijivu; nyingine ni nyeupe kabisa, nyingine kijivucheusi. Ndege hao wana domo lenye nguvu na ncha kali; domo lao ni nene kuliko lile la spishi za Sternidae. Wanaweza kuogelea na wana ngozi kati ya vidole vyao.

Shakwe huhusiswha na pwani, na kweli huko wako tele, lakini spishi nyingi wanatokea mbali na bahari, kwa kawaida karibu na maji. Spishi za Rissa huonekana baharini mbali na pwani. Shakwe huwakamata samaki wadogo au kaa au gegereka wengine lakini hula mizoga pia. Hulitengeneza tago lao chini, mara nyingi kisiwani.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

Carolus LinnaeusLarusRissaXema

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkabailaWasafwaAntibiotikiItikadiOrodha ya Marais wa TanzaniaLugha ya programuAdolf HitlerChatuTabianchiDhamiriNabii IsayaKoreshi MkuuMkataba wa Helgoland-ZanzibarMapenziVirusi vya UKIMWITabainiHistoria ya ZanzibarMbooHistoria ya Kanisa KatolikiMji mkuuSikukuuUtamaduni wa KitanzaniaVita vya KageraJuaUjamaaUsiku wa PasakaKitenzi kikuuMitume na Manabii katika UislamuAfrikaWaanglikanaNgome ya YesuAina ya damuTafsiriMnara wa BabeliWayahudiRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniBawasiriWamasaiImaniBendera ya KenyaNzigeUandishi wa ripotiManeno sabaMamba (mnyama)FananiAunt EzekielUundaji wa manenoUandishi wa inshaKrismaBata MzingaKilwa KivinjeMbuga za Taifa la TanzaniaTendo la ndoaUfugaji wa kukuOrodha ya Watakatifu WakristoOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuWamandinkaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMajira ya baridiWameru (Tanzania)Chombo cha usafiri kwenye majiMbeya (mji)Mkanda wa jeshiWiki CommonsPasifikiAbrahamuItifakiMfumo katika sokaHistoriaAfyaAli KibaMkoa wa NjombeBurundiUkristoKiwakilishi nafsi🡆 More