Roger Dubuis

Roger Dubuis ni kampuni ya kutengeneza saa za anasa kwa wanawake na wanaume huko Geneva, Uswisi.

Roger Dubuis
Kampuni ya Roger Dubuis Geneva, Uswisi

Kampuni hii ilianzishwa na Roger Dubuis na Carlos Dias mwaka 1995. Mwaka 2008 kampuni hii ilichukuliwa na kampuni ya Richemont.

Zile za Roger Dubuis ni saa zinazotengenezwa kwa kuchanganya mitindo ya asili na ubunifu wa pekee unaojionyesha zaidi kwenye matoleo ya Excalibur and Velvet.

Hivi karibuni kampuni hii imekuwa ikitengeneza saa zinazotokana na michezo ya magari kwa ushirikiano na kampuni za Lamborghini Squadra Corse na Pirelli.

Marejeo

Viungo vya nje

Roger Dubuis  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Dubuis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

GenevaKampuniSaaUswisiWanaumeWanawake

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KunguruVivumishi vya idadiNishati ya mwangaMaambukizi nyemeleziDesturiRwandaLilithWajitaRoho MtakatifuVieleziMkutano wa Berlin wa 1885MatiniCédric BakambuMkoa wa KigomaMapinduzi ya ZanzibarNomino za kawaidaShabaniDayolojiaKongoshoMamaUrusiKonsonantiKipepeoTaasisi ya Taaluma za KiswahiliUjimaKwaresimaMitume wa YesuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoSiafuKenyaVita vya KageraWembeKamusi za KiswahiliMofolojiaOrodha ya Marais wa KenyaMoyoSayariSaratani ya mlango wa kizaziKata za Mkoa wa Dar es SalaamBiasharaKombe la Dunia la FIFAWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiHistoria ya TanzaniaAurora, ColoradoKipajiMwaniMnyoo-matumbo MkubwaKalamuMkanda wa jeshiZana za kilimoMrisho NgassaUsawa wa kijinsiaRamadan (mwezi)Orodha ya viwanja vya ndege nchini TanzaniaKiambishiMafurikoSemantikiSoko la watumwaSimon MsuvaOrodha ya volkeno nchini TanzaniaHistoria ya AfrikaMvuaMazingiraAina za udongoKinembe (anatomia)KWikipedia ya KirusiInshaMajira ya baridiWapareUjerumaniKifo cha YesuOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaMusuliSemiDubai (mji)🡆 More