Omar Khayyam

Omar Chayyām (Kifarsi: عمر خیام‎ ’omar-e khayyām ; * mnamo 1048 mjini Nishapur, mkoa wa Khorasan; † kati ya 1122 - 1131) alikuwa mshairi nchini Uajemi aliyejulikana pia kama mtaalamu wa hisabati, falaki na falsafa.

Omar Khayyam
Picha ya Omar Khayyam

Kama mwanahisabati aligundua usuluhisho wa milingano ya mchemraba pamoja na kipeo cha mchemraba. Mfalme alimwagiza 1073 kujenga jengo la kuangalia nyota. Akaendelea kutunga kalenda iliykuwa msingi wa kalenda ya jua ya Uajemi inayotumiwa hadi leo na kalenda hii imesifiwa kuwa kamili kushinda kalenda ya Gregori.

Alitunga mashairi aina ya rubaiyat yaliyokuwa na mistari minne kila beti akatunga zaidi ya 1,000. Katika mashairi haya alijadili mawazo yake juu ya falsafa na dini ya Kiislamu.

Alikuwa na elimu nzuri lakini hakupendezwa na Uislamu wa kawaida wa wakati wake. Kati ya mabeti mashuhuri aliyotunga ni

"Furahia divai na wanawake usiogope maana Allah ni mwenye rehema."


Viungo vya Nje

Omar Khayyam 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Omar Khayyam 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Omar Khayyam  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Omar Khayyam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KifarsiUajemi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Moses KulolaMrisho MpotoKupatwa kwa JuaKitenzi kikuuJoyce Lazaro NdalichakoVirusi vya CoronaFani (fasihi)Orodha ya Watakatifu wa AfrikaSoko la watumwaGeorge Boniface SimbachaweneAmani Abeid KarumeAfrika ya MasharikiTasifidaPemba (kisiwa)MariooMaambukizi ya njia za mkojoMatumizi ya lugha ya KiswahiliSamakiMunguUmoja wa AfrikaRiwayaUlumbiLigi ya Mabingwa UlayaDaktariHoma ya matumboYouTubeUsafi wa mazingiraBendera ya ZanzibarMsamiatiMkoa wa ArushaUaChawaNchiKaraniJoseph Sinde WariobaNetiboliMahakamaUsawa (hisabati)MawasilianoAli KibaMwanaumeMohammed Gulam DewjiKifua kikuuKipandausoWaheheLiverpool F.C.NyegereMjasiriamaliAsiaSemiHalmashauriHisiaMvua ya maweParachichiWatutsiOrodha ya majimbo ya MarekaniVichekeshoTawahudiHaki za watotoIniAwilo LongombaHerufiHakiAlasiriJanuary MakambaNomino za pekeeTulia AcksonDoto Mashaka BitekoBaruaMbogaMadhara ya kuvuta sigaraOrodha ya maziwa ya TanzaniaMadhehebuWilaya ya Karatu🡆 More