Oliver Cromwell

Oliver Cromwell (25 Aprili 1599 – 3 Septemba 1658) alikuwa mwanajeshi na mwanasiasa wa Uingereza.

Anajulikana kwa kufanya jamhuri ya Uingereza kuwa na umoja na soko la pamoja.

Oliver Cromwell
Picha ya Oliver Cromwell.

Cromwell alikuwa mwanamapinduzi ambaye alikuwa akipinga utawala wa mfalme Charles I wa Uingereza ambaye alikuwa na uongozi mbaya ambao uliwapitisha wananchi WA Uingereza katika kipindi kigumu. Aliunga mkono bunge dhidi ya mfalme. Alitoa amri ya kijeshi ya kuvunja bunge katika utawala wake. Kitendo alichochukua Cromwell hakikufurahisha watu zaidi ya kuwachanganya mpaka leo.

Cromwell alikuwa wa kwanza Uingereza kutekelezwa Upuritani. Alikuwa analinda imani na maadili ya Anglikana ili ziheshimiwe na watu. Watu waliokwenda kinyume na dini hiyo aliamuru wakamatwe na kuteswa.

Oliver Cromwell Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oliver Cromwell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1599165825 Aprili3 SeptembaMwanajeshiMwanasiasaUingerezaUmoja

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NenoOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMazungumzoMaajabu ya duniaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNapoleon BonaparteTaasisi ya Taaluma za KiswahiliLigi ya Mabingwa AfrikaMtume PetroKiboko (mnyama)Athari za muda mrefu za pombeUpepoZabibuKima (mnyama)Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMbeguTunu PindaMagonjwa ya machoDini nchini TanzaniaTundaHadithiMisimu (lugha)FalsafaMweziAdhuhuriOrodha ya Watakatifu WakristoAganoSanaaMwanzoAbedi Amani KarumeKinembe (anatomia)Mkoa wa MaraVieleziWikimaniaCAFNgamiaJinsiaMafuta ya wakatekumeniRayvannyUkooNimoniaMsalabaMsitu wa AmazonAsili ya KiswahiliUongoziMafua ya kawaidaTiktokHistoria ya IsraelMendeKata za Mkoa wa Dar es SalaamKanisa KatolikiWaanglikanaOrodha ya Marais wa ZanzibarArusha (mji)SiasaKrismaVidonge vya majiraJogooOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuKuhani mkuuUti wa mgongoSkautiKahawiaUpendoJacob StephenVivumishi vya sifaNgono zembeNyangumiSamakiMbogaAslay Isihaka NassoroUtamaduni🡆 More