Mwezi Mwandamo

Mwezi mwandamo (kwa Kiing.

Awamu hiyo inatokea kila baada ya siku 29 1/2.

Mwezi Mwandamo
Awamu za Mwezi - Mwezi mwandamo ni na. 1 (Nuru ya Jua kutoka kushoto)
Mwezi Mwandamo
Awamu za mwezi kuanzia mwezi mwandamo (1) kupitia hilali (2), robo ya kwanza, nusu mwezi, robo ya tatu, mwezi mpevu (5) hadi mwezi mwandamo tena

Katika awamu hiyo Mwezi uko kati ya Dunia na Jua. Hivyo ni nusu ya Mwezi isiyoonekana kutoka Duniani ndiyo inayopokea nuru ya Jua lakini upande ambao tunatazama uko kivulini.

Hali halisi upande unaotazama Dunia hauko gizani kabisa kwa sababu unapokea kiasi cha nuru inayoakisiwa kutoka uso wa Dunia. Lakini wakati wa mchana nuru ya Jua ni kali zaidi hivyo hatuoni Mwezi.

Ilhali Mwezi uko kati ya Jua na Dunia, kuna hali ya pekee. Kama Mwezi unapita kamili mstari uliopo baina ya Jua na Dunia, unafunika Jua kwa muda mfupi. Kwa njia hiyo kivuli cha Mwezi kinapita kwenye uso wa Dunia. Watu waliopo katika eneo la kivuli chake wanaona kupatwa kwa Jua.

Marejeo

Tags:

Kiing.MachoMweziNusuSiku

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MJKina (fasihi)Fasihi simuliziMariooAfrika ya Mashariki ya KijerumaniSumakuWagogoTenzi tatu za kaleMkunduAli KibaHali ya hewaVipimo asilia vya KiswahiliUhuru wa TanganyikaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKishazi tegemeziFananiMkoa wa NjombeUtafitiHekalu la YerusalemuMtandao wa kompyutaSaratani ya mlango wa kizaziFacebookSoga (hadithi)AnwaniBibi Titi MohammedIndonesiaNamba ya mnyamaRohoVirusi vya CoronaKen WaliboraUhifadhi wa fasihi simuliziMsituTabiaKamusi ya Kiswahili sanifuTulia AcksonUgaidiTarbiaBarua rasmiMkataba wa Helgoland-ZanzibarMeena AllyMilaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMizimuMagonjwa ya kukuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoIsimilaKitunda (Ilala)MaktabaWema SepetuStafeliChanika (Ilala)Mkoa wa MbeyaHaki za binadamuVivumishi vya idadiOrodha ya Watakatifu WakristoVisakaleBendera ya TanzaniaSeli nyeupe za damuDoto Mashaka BitekoMkoa wa SimiyuFasihi andishiUzalendoJumuiya ya Afrika MasharikiViwakilishi vya sifaVitenzi vishirikishi vikamilifuOrodha ya Marais wa KenyaGeorDavieBaruaSimbaVivumishiInsha ya wasifuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMandhari🡆 More