Mwangaza Halisi

Mwangaza halisi (kwa Kiingereza absolute magnitude) ni kipimo cha ukali wa nuru ya nyota au magimba mengine ya anga jinsi itakavyoonekana kwa mtazamaji aliye kwa umbali sanifu wa miakanuru 32.6 au parsek 10.

Mwangaza halisi ni tofauti na mwangaza unaoonekana jinsi tunavyoona nyota kutoka Dunia. Maana mwangaza tunaoona unategemea na ukubwa wa nyota, umbali wake na mambo mengine. Nyota ndogo na hafifu iliyo karibu nasi katika anga-nje itaonekana angavu kuliko nyota kubwa iliyo mbali. Hii ni sawa na kuangalia taa iliyo karibu au mbali.

Kipimo hiki kwa kutumia umbali sanifu kinawaruhusu wanaastronomia kulinganisha uang'avu wa magimba.

Mwangaza Halisi Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwangaza halisi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Gimba la anganiKiingerezaKipimoNuruNyotaParsek

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MchezoAmaniSayansiUkooInsha ya wasifuMadhehebuCUtegemezi wa dawa za kulevyaMachweoParisKunguniKiwakilishi nafsiUtamaduni wa KitanzaniaHoma ya matumboAli Hassan MwinyiSautiMtakatifu PauloNgonjeraMwarobainiMgawanyo wa AfrikaBinamuLugha za KibantuKitomeoAgano la KaleNambaMaambukizi nyemeleziKombe la Mataifa ya AfrikaVivumishi vya kuoneshaMfumo wa JuaMkoa wa SongweSimu za mikononiMkoa wa MorogoroMeno ya plastikiLugha ya taifaSkeliKiboko (mnyama)Ee Mungu Nguvu YetuNyegereKombe la Dunia la FIFAKodi (ushuru)Aina za udongoRisalaMashinePapaRedioBaraza la Maaskofu Katoliki TanzaniaJuaItifakiPasaka ya KikristoPesaMishipa ya damuWaluhyaUyahudiAmri KumiMrisho NgassaKiranja MkuuLugha ya kigeniMisemoRayvannyShabaniUpendoMuda sanifu wa duniaMivighaBaruaLigi ya Mabingwa AfrikaChakulaIdi AminMshororoWilaya ya KinondoniOrodha ya Marais wa MarekaniUmemeAli Mirza WorldKikohoziWembeOrodha ya miji ya TanzaniaMamba (mnyama)UandishiKarafuu🡆 More