N.
Mtumbaku (Nicotiana spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mitumbaku iliyotoa maua | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mitumbaku (pia mitumbako; kwa Kisayansi Nicotiana spp.) ni mimea iliyo na asili yao katika Amerika lakini inayolimwa kote duniani siku hizi. Majani yake (tumbaku) yana kiasi kikubwa cha nikotini na yana matumizi ya kuvuta katika sigara.
Waindio ambao ni wenyeji asilia wa Amerika walitumia tumbaku miaka mingi kabla ya kufika kwa Wazungu huko. Wahispania walijifunza matumizi ya tumbaku kutoka kwao wakaileta Ulaya.
Mwanzoni tumbaku ilivutwa kwa kiko. Sigara zilipatikana baadaye. Inatafuniwa na kunuswa pia.
Walimaji wakuu wa mtumbaku duniani - 2005 (milioni za tani za mraba) | |
---|---|
China | 2.51 |
Brazil | 0.88 |
Uhindi | 0.60 |
Marekani | 0.29 |
Indonesia | 0.14 |
Uturuki | 0.14 |
Ugiriki | 0.12 |
Argentina | 0.12 |
Italia | 0.11 |
Pakistan | 0.08 |
World Total | 6.38 |
Kutoka: FAO [1] |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtumbaku kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mtumbaku, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.