Mstroberi

Mstroberi (Fragaria x ananassa) ni mmea mdogo wa familia Rosaceae unaotoa matunda mekundu (stroberi).

Mstroberi
(Fragaria x ananassa)
Mstroberi
Mstroberi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Rosales (Mimea kama mwaridi)
Familia: Rosaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mwaridi)
Jenasi: Fragaria
L.
Spishi: F. x ananassa
Duchesne ex Rozier

Maua ni meupe. Mmea huu ni mvyauso kati ya Fragaria chiloensis na F. virginiana na kwa hivyo unatoa matunda makubwa zaidi.

Mistroberi hukuzwa sana katika kanda za tabianchi wastani na za nusutropiki na pia katika ukanda wa tropiki wakati wa majira ya baridi au milimani. Stroberi hupendwa sana kwa ajili ya ladha yao maalum tamu.

Picha

Mstroberi  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mstroberi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Familia (biolojia)MmeaTundaUa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha za KibantuOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaWanyakyusaKomaWikipediaWingu (mtandao)SayansiMaishaSiafuGeorDavieRushwaJoseph ButikuSerikaliBunge la TanzaniaKaswendeMuundoUtandawaziMohamed HusseinBenderaArusha (mji)JamiiPamboUandishi wa ripotiMalariaUkabailaIdi AminInsha za hojaKinembe (anatomia)DawatiMr. BlueMfuko wa Mawasiliano kwa WoteBikiraBahashaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Majeshi ya Ulinzi ya KenyaMoscowMlongeUtumbo mwembambaMbwana SamattaLatitudoSikioSexOrodha ya milima ya AfrikaHali ya hewaUzalendoUlayaWanyama wa nyumbaniMbooMsituFisiBiashara ya watumwaHekalu la YerusalemuMtaalaMuundo wa inshaWayback MachineVivumishi vya sifaKifaruJumuiya ya MadolaVisakaleKinyongaP. FunkHistoria ya WasanguARadiUsafi wa mazingiraMisemoVitenzi vishiriki vipungufuMkuu wa wilayaVivumishi vya -a unganifuHadithi za Mtume MuhammadWasukumaHifadhi ya mazingira🡆 More