Mto Moskva

Mto Moskva (Kirusi: Москва) ni mto wa Urusi unaopita katika mikoa ya Moscow na Smolensk na kwenye mji wa Moscow mwenyewe.

Urefu wake ni kilomita 503. Unaishia katika mto Oka kwenye mji wa Kolomna. Kwa jumla ni sehemu ya beseni ya Volga.

Mto Moskva
Mto Moskva mjini Moscow
Chanzo Vilima vya Smolensk
Mdomo Mto Oka (karibu na Kolomna)
Nchi Urusi
Urefu 509 km
Mkondo 7,000 m³/s
Eneo la beseni 17,600 km²
Miji mikubwa kando lake Moscow
Mto Moskva
Ramani ya beseni ya Volga pamoja na Moskva

Tags:

KirusiKolomnaMoscowMto OkaSmolenskVolga

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hekalu la YerusalemuBungeHaki za watotoKidole cha kati cha kandoHali ya hewaMahindiAla ya muzikiTungo kirai25 ApriliUlimwenguMatumizi ya lugha ya KiswahiliOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaFananiKanisa KatolikiIfakaraMapenziKiswahiliAlizetiMimba kuharibikaWilaya ya TemekeTashihisiRita wa CasciaMbwana SamattaMaudhui katika kazi ya kifasihiBiblia ya KikristoMoses KulolaNileMkoa wa Dar es SalaamNamba tasaYouTubeKabilaSanaaNetiboliMilanoRaiaBarua pepeKitenzi kikuuMkuu wa wilayaUkutaMkoa wa SongweMchwaUjerumaniKamusi za KiswahiliNgamiaC++Virusi vya UKIMWIWaziriKifaruSaratani ya mlango wa kizaziJohn MagufuliChakulaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Usafi wa mazingiraLatitudoWasukumaUtumbo mpanaHistoriaMamaOrodha ya makabila ya KenyaBaraMbooKutoka (Biblia)Tupac ShakurMperaKondomu ya kikeViwakilishi vya pekeeUNICEFSkeliKisimaKitenzi kikuu kisaidiziJamiiTamthiliaWilaya za TanzaniaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiNimoniaTulia AcksonMatini🡆 More