Mkoa Wa Osmaniye

Osmaniye ni jinala mkoa uliopo mjini kusini mwa nchi ya Uturuki.

Umekuja kuwa mkoa mnamo mwaka wa 1996. Kasehemu kadogo ka mkoa kalikuwa shemu ya Mkoa wa Adana, na kulikobakia huwa mjini mashariki mwa Adana. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 3,767 na jumla ya wakazi takriban 497,907 (makisio ya 2006). Awali idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 458,782 kunako mwaka wa 2000.

Mkoa Wa Osmaniye Mkoa wa Osmaniye
Maeneo ya Mkoa wa Osmaniye nchini Uturuki
Mkoa Wa Osmaniye
Maelezo
Kanda: Kanda ya Mediterranean
Eneo: 3,767 (km²)
Idadi ya Wakazi 497,907 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni: 80
Kodi ya eneo: 0328
Tovuti ya Gavana http://www.osmaniye.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/osmaniye

Wilaya za mkoani hapa

Mkoa wa Osmaniye umegawanyika katika wilaya 7 (mji mkuu umekoozeshwa):

Viungo vya Nje

Mkoa Wa Osmaniye  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Osmaniye kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AdanaMikoa ya UturukiMkoa wa AdanaUturuki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa Simiyu25 ApriliWizara ya Mifugo na UvuviKata za Mkoa wa Dar es SalaamAustraliaDawa za mfadhaikoHaki za wanyamaOrodha ya mito nchini TanzaniaRisalaMr. BlueMagonjwa ya kukuUingerezaIsimujamiiUsanifu wa ndaniDuniaUajemiMichael JacksonSayariBaraza la mawaziri TanzaniaJoseph ButikuWameru (Tanzania)NdoaVielezi vya idadiMbezi (Ubungo)Andalio la somoHadithiKaswendeZuchuMnara wa BabeliTarbiaTendo la ndoaShetaniBinadamuSaidi NtibazonkizaMamaStadi za lughaKalenda ya KiislamuTanganyika (ziwa)Kiazi cha kizunguMadawa ya kulevyaJinsiaBidiiVipera vya semiMlima wa MezaBendera ya KenyaUchawiTupac ShakurMaambukizi nyemeleziMsitu wa AmazonMmeaFani (fasihi)FananiKiwakilishi nafsiUharibifu wa mazingiraKitenziWimboZiwa ViktoriaSikukuu za KenyaTiktokKumaNembo ya TanzaniaMkoa wa ManyaraStadi za maishaKigoma-UjijiLakabuNileRiwayaVielezi vya namnaAli Hassan MwinyiAlomofu🡆 More