Nugal (Kisomali: Nugaal, Kiarabu: نوغال, Kiitalia: Nogal) ni mkoa wa kiutawala (gobol) wa ukanda wa kaskazini Somalia.
Umepakana na mikoa ya Somalia kama Sool upande wa magharibi, Bari upande wa kaskazini, na Mudug upande wa kusini na mkoa wa Somali wa Ethiopia. Upande wa mashariki imepakana na bahari ya Somalia.
Nugal ni mji wa kati wa Garowe, ambao ni mji mkuu wa Puntland.
Alama kubwa ya mkoa huu ni Bonde la Nugaal, linalojazwa na mito ya Nugal na Dheer ambayo ni ya msimu wa masika kati ya Aprili–June.
Mkoa wa Nugal una jumla ya wilaya tano:
Makala hii kuhusu maeneo ya Somalia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Nugal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mkoa wa Nugal, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.