Mjao

Mjao (kwa Kiingereza volume) unaeleza ukubwa wa gimba la hisabati (mchemraba, tufe, mcheduara) kwa kupima nafasi ya yaliyomo yake.

Hupimwa katika vizio vya ujazo kama mita ujazo (m³) au sentimita ujazo (cm³).

Kila gimba lenye urefu, upana na kimo huwa na mjao.

Alama yake ni V.

Hali halisi ni kwamba nje ya hisabati kuna njia mbili za kuangalia mjao wa gimba:

  • ujazo wa nje kwa jumla (kwa mfano kama kitu kinazamwa katika kiowevu kinasukuma kiasi gani cha kiowevu hiki?)
  • ujazo wa ndani (kwa mfano yaliyomo ya boksi au tangi)

Mifano ya kukadiria mjao wa magimba kadhaa

Kadirio ya mjao ni Urefu x Upana x Kimo.

mchemraba mwenye urefu wa ukingo "a":
Mjao 

mchemstatili mwenye urefu wa kingo "a", "b" na "c":
Mjao 

tufe lenye rediasi "r"::
Mjao 

mcheduara au mche mwenye eneo la kitako "A" na kimo "h":
Mjao 

Mjao  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mjao kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

GimbaHisabatiKiingerezaMcheduaraMchemrabaTufeUkubwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TashihisiKutoa taka za mwiliKipindupinduNabii EliyaPombeUchawiMimba za utotoniTulia AcksonSabatoMimba kuharibikaMuundo wa inshaUshairiPemba (kisiwa)Orodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaDemokrasiaKanda Bongo ManMeta PlatformsShengUingerezaKukiYesuRufiji (mto)Mkoa wa RukwaOrodha ya viongoziMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaKenyaJoseph ButikuAmri KumiMishipa ya damuKidole cha kati cha kandoJokofuMariooMwana FANahauKariakooSayansi ya jamiiHistoria ya TanzaniaPichaLionel MessiMuhammadMapinduzi ya ZanzibarMkoa wa Unguja Mjini MagharibiUlimwenguMkoa wa SongweMaambukizi ya njia za mkojoKiumbehaiBaruaDuniaUfugaji wa kukuVita Kuu ya Pili ya DuniaMohamed HusseinVidonge vya majiraAfrika ya MasharikiAlizetiKimara (Ubungo)RejistaUsawa (hisabati)Kiwakilishi nafsiMajiHistoria ya KiswahiliUnyenyekevuHistoria ya UislamuWarakaWilaya ya UbungoSinagogiMnyamaWaziriMaumivu ya kiunoNusuirabuVielezi vya idadiUlayaShinikizo la juu la damuMwanzo (Biblia)🡆 More