Misale Ya Waamini

Misale ya waamini (awali: Misale ya waumini) ni kitabu kidogo ambacho kinawaletea Wakatoliki wanaotumia lugha ya Kiswahili matini ya sala na masomo kutoka Biblia ya Kikristo kadiri ya utaratibu wa Misa za Jumapili na sikukuu za kalenda ya liturujia ya mapokeo ya Kiroma.

Mbali na hayo, yanayotokana na vitabu rasmi vya Misale ya altare na Kitabu cha masomo, katika kitabu hicho waumini wanakuta pia sala na ibada nyingine za binafsi.

Ndiyo sababu misale hiyo imetolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania mara nyingi na kusambaa nchini kote na hata nje yake.

Toleo jipya kabisa limetolewa mwaka 2021.

Misale Ya Waamini Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Misale ya waamini kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Biblia ya KikristoJumapiliKalenda ya liturujiaKiswahiliKitabuLughaMapokeo ya KiromaMisaSalaSikukuuWakatoliki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UbaleheShetaniUzazi wa mpangoUchaguziBendera ya ZanzibarJokate MwegeloKamusiSentensiKondomu ya kikeTashihisiMkoa wa MwanzaLionel MessiDawatiSaidi NtibazonkizaOrodha ya miji ya TanzaniaUandishi wa inshaMeno ya plastikiVivumishiNamba za simu TanzaniaNgano (hadithi)NevaBungeOrodha ya makabila ya KenyaAbedi Amani KarumeBendera ya TanzaniaJoseph ButikuChristina ShushoStephane Aziz KiNomino za jumlaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiKilimoWahayaDoto Mashaka BitekoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKiolwa cha anganiKalenda ya KiislamuHadithiUmoja wa AfrikaMbeyaJose ChameleoneMzeituniUvimbe wa sikioUtamaduniMkunduMwanamkeDaudi (Biblia)UislamuMshubiriDodoma (mji)Mimba kuharibikaMbaraka MwinsheheMziziWagogoMbeya (mji)Hekalu la YerusalemuMwakaTovutiVisakaleOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKonsonantiHurafaFani (fasihi)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoUKUTAUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaWaluguruWilaya ya UbungoVita Kuu ya Pili ya DuniaMaumivu ya kiunoWilaya ya NyamaganaSomo la UchumiWilaya ya TemekeAzimio la ArushaTanganyika🡆 More