Melinda French Gates (aliyezaliwa Melinda Ann French 15 Agosti 1964) ni mfadhili na mwanasayansi wa kompyuta wa Marekani na meneja mkuu katika Microsoft.
French Gates amekuwa akiorodheshwa na Forbes kama mmoja wa wanawake wenye nguvu zaidi ulimwenguni.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Melinda French Gates kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Melinda French Gates, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.