Mel Gibson

Mel Columcille Gerard Gibson (amezaliwa tar.

3 Januari 1956) ni mzaliwa wa Marekani-mwigizaji wa filamu, mwongozaji na pia mtayarishaji. Gibson alihamia Australia akiwa na umri wa miaka 12 na baadaye alisomea maswala ya uigizaji katika Taasisi ya Sanaa na Maigizo ya Taifa (kwa Kiing.: National Institute of Dramatic Art) iliyopo mjini Sydney, Australia.

Mel Gibson
Mel Gibson kwenye 2011 Cannes Film Festival
Mel Gibson kwenye 2011 Cannes Film Festival
Jina la kuzaliwa Mel Columcille Gerard Gibson
Alizaliwa 3 Januari 1956
Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Mwongozaji
Mtaarishaji
Miaka ya kazi 1976 - hadi leo
Ndoa Robyn Moore Gibson
(1980–2011)
Watoto Hannah (b. 1980)

Edward (b.1982)
Christian (b.1982)
William (b. 1985)
Louis (b.1988)
Milo (b. 1990)
Thomas (b. 1999)
Lucia (b. 2009)

Wazazi Hutton Gibson
Anne Patricia

Gibson baada ya kujiimarisha mwenyewe kama jina la mwenye kijiji katika mfululizo wa filamu ya Mad Max na Lethal Weapon. Gibson vile vile alikwenda kushiriki katika ugawaji wa tuzo ya Oscars na akabahatika kuwa mshindi wa tuzo hiyo kama mwigizaji na mwongozaji bora wa filamu (filamu ilikuwa: Braveheart).

Kuongoza kwake filamu ya Braveheart kume mfanya awe nyota wa sita wa filamu aliegeuka kuwa mtengenezaji wa filamu kwa kupokea tuzo ya Oscar kama mwongozaji bora. Mnamo mwaka 2004, aliongoza na kuitaarisha filamu ya The Passion of the Christ, filamu yenye mafanikio makubwa, iliyoonyesha saa na maisha ya mwisho ya Yesu. Gibson ni Ofisa mwamrishi wa Australia na vile vile alipewa cheo na gazeti la Forbes (Forbes magazine) kwa kuwa kama mmoja wa watu mashuhuri wenye nguvu duniani mnamo mwaka 2004.

Filamu alizoigiza/Kuongoza na kutunga

  • Mad Max (1979)
  • Mad Max 2 (1981)
  • Gallipoli (1981 film)Gallipoli (1981)
  • The Year of Living Dangerously (1982)
  • The Bounty (1984)
  • Mrs. Soffel (1984)
  • Mad Max Beyond Thunderdome (1985)
  • Lethal Weapon (1987)
  • Tequila Sunrise (film)Tequila Sunrise (1988)
  • Lethal Weapon 2 (1989)
  • Hamlet (1990 film)Hamlet (1990)
  • Air America (film)Air America (1990)
  • Bird on a Wire (film)Bird on a Wire (1990)
  • Forever Young (1991)
  • Lethal Weapon 3 (1992)
  • Maverick (film)Maverick (1994)
  • Ransom (film)Ransom (1996)
  • Conspiracy Theory (1997)
  • Lethal Weapon 4 (1998)
  • Payback (film)Payback (1999)
  • Chicken Run (2000)
  • The Patriot (2000 film)The Patriot (2000)
  • What Women Want (2000)
  • We Were Soldiers (2002)
  • Signs (film)Signs (2002)

Kama mwigizaji/ mwongozaji

  • The Man Without a Face (1993)
  • Braveheart (1995)

Kama mwongozaji na mtunzi-mshiriki

  • The Passion of the Christ (2004)
  • Apocalypto (2006)

Kama nyota mwalikwa

  • The Simpsons (1999)

Marejeo

  1. http://www.filmsite.org/aa95.html
  2. http://boxofficemojo.com/movies/?id=passionofthechrist.htm
  3. http://money.cnn.com/2004/06/17/news/newsmakers/forbes_stars/index.htm
  4. http://www.wargs.com/other/gibson.html
  5. http://en.wikipedia.org/wiki/The_Irish_Times

Viungo vya Nje

Mel Gibson 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Mel Gibson  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mel Gibson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mel Gibson Filamu alizoigizaKuongoza na kutungaMel Gibson MarejeoMel Gibson Viungo vya NjeMel Gibson19563 JanuariAustraliaMarekaniSydney

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UchumiWilaya ya IlalaHistoria ya WasanguMbwana SamattaMsamiatiFasihi simuliziUtumwaHomoniCristiano RonaldoNandyMofimuZuchuHistoria ya IranNambaKiboko (mnyama)HaitiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKinyongaChakulaUandishiNduniMchwaMilanoKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniUharibifu wa mazingiraVielezi vya namnaKumaHekalu la YerusalemuAgostino wa HippoMkoa wa NjombeKigoma-UjijiBaraMitume wa YesuMeliRayvannyStephane Aziz KiVirusi vya UKIMWIVitenzi vishirikishi vikamilifuVasco da GamaHalmashauriUhuru wa TanganyikaTovutiUenezi wa KiswahiliKiolwa cha anganiMange KimambiHektariOrodha ya vitabu vya BibliaMwanza (mji)Tungo kiraiShangaziKutoka (Biblia)JinaPichaUnyevuangaMkoa wa MwanzaUfugajiJoyce Lazaro NdalichakoEthiopiaMapinduzi ya ZanzibarMtakatifu MarkoRita wa CasciaMunguTanzaniaShikamooMarie AntoinetteHekaya za AbunuwasiUwanja wa Taifa (Tanzania)MalariaMagonjwa ya machoMvua ya maweKilimo🡆 More