Mto Mekong

Mto Mekong ni kati ya mito mikubwa ya dunia na mto mkubwa wa tatu wa bara la Asia.

Mkondo wake ni mkondo mkubwa wa kumi duniani.

Mto Mekong
Mto Mekong wakati wa jioni
Chanzo Tibet, China
Mdomo Bahari ya Kusini ya China
Nchi Mto Mekong Tibet
Mto Mekong China
Mto Mekong Myanmar
Mto Mekong Laos
Mto Mekong Uthai
Mto Mekong Kambodia
Mto Mekong Vietnam
Urefu 4,425 km
Kimo cha chanzo 5,200 m
Mkondo 15,000 m³/s
Eneo la beseni 795,000 km²
Miji mikubwa kando lake Vientiane, Phnom Penh

Chanzo chake ni katika nyanda za juu za Tibet kwenye kimo cha zaidi ya mita 5,000. Mwendo wake una urefu wa zaidi ya km 4000 na beseni ina eneo la kilomita za mraba 795,000.

Kutoka chanzo katika milima ya Himalaya (Tibet) mto unapita jimbo la Yunnan (China) ukijulikana kama Meigong kwa Kichina. Halafu unakuwa mpaka wa Myanmar na Laos. Baada ya km 200 unakutana na tawimto Ruak kwenye eneo linaloitwa "pembetatu ya dhahabu". Kuanzia hapa mto ni mpaka kati ya Uthai na Laos. Hapa unaitwa "Maè Nam Khong" katika nchi zote mbili. Kuanzia mji wa Luang Prabang unatumika kwa usafiri wa maboti na meli ndogo. Baada ya kupita mji Vientiane Mekong iko ndani ya eneo la Laos kwa kilomita chache. Kabla ya kuingia Kambodia mto unapita maporomoko ya Khone yanayozuia usafiri kwa meli kati sehemu za juu na chini za mto.

Nchini Kambodia Mekong inapita kwenye mji mkuu Pnomh Penh. Baadaye inajigawa katika mikono miwili: Mekong yenyewe na mkono unaoitwa Bassac.

Delta ya Mekong inaendelea katika kusini ya Vietnam hadi kuishia baharini.

Miji mikubwa mtoni

Mto Mekong 
Nchi za beseni ya Mekong
(beseni: mstari uliovunjika)

Tags:

Asia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

GhanaImaniJumapili ya matawiHifadhi ya SerengetiWagogoMalipoUgaidiDumaKito (madini)Historia ya WapareAgano la KaleMawasilianoNgeli za nominoOrodha ya maziwa ya TanzaniaWema SepetuMungu ibariki AfrikaMike TysonKata za Mkoa wa Dar es SalaamMnyamaAsili ya KiswahiliMkondo wa umemeTanzaniaSarufiJamhuri ya Watu wa ZanzibarVipaji vya Roho MtakatifuMjombaNjia ya MsalabaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereMizimuKisononoUshairiUgonjwa wa kupoozaMwanzoOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaKiingerezaTeknolojia ya habariMethaliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaAlomofuWilliam RutoTashdidiVihisishiWikimaniaTmk WanaumeMkoa wa SingidaDhamiriUkabailaDubaiBawasiriFiston MayeleLuis MiquissoneKumaWahaZama za MaweYoweri Kaguta MuseveniOrodha ya MiakaKwaresimaLugha ya programuNominoTovuti27 MachiDamuVielezi vya namnaKahawiaWimboWilaya za TanzaniaLughaMfumo katika sokaTundaPichaBunge la Afrika MasharikiUbuyu🡆 More